Gari nzuri ya CC chini ya 1500 budget 14m-18m

Gari ya chini ya hizo cc ni passo, vits, porte, funcargo,ist na starlet!

Sasa sijajua unapenda ipi kati ya hizi
 
Nakushauri chukua spacio new model ila jitahidi iwe normal,, yaani isiwe na fender chini namaanisha maplastic yaloongezwa Kama urembo mbele nyuma na ubavuni utaipenda kwa mafuta na hata kwa meendo pia ni comfortable kwako na familia.
 
Hapana bana....
Mbona mchepuko wangu (mume wangu anajuaga ni cousin wangu) anayo mwaka sijui wa nne huu sijaona akilalamika chochote.
Hili ni dume linajilegeza utaliwa matacle.

Ushauri wa dualis umempa mzuri hasa kwenye engine size na budget nadhani aongeze kidogo atapata dualis safi.
 
TOYOTA SPACIO new model ndilo mkomboz wako
 
Hizi SUA nachowaza ndo hizo cc nisije nikashindea kuweka mafuta nimewaza chini ya 1500 kwa kua najua nitaweza kupambana service na mafuta

Unaweza ukapata cc 1500 shock up ukanununua laki 4 na oil yake ikawa 130,000, unaweza ukapata cc1800 shock up ikawa laki 2 na oil yake 60,000, so do not only think of fuel, kuna vingine!

Kuna nyingine cc ndogo, spare Zake mpaka Nairobi tu!
 

Don't focus kwenye Cc za engine. Utaacha magari mazuri.

Kuna gari zina Cc zaidi 1500 na zinaweza kuwa zina consumption nzuri kuliko hata ambazo zipo chini kidogo ya hiyo Cc1500.

Labda useme hiyo gari utaitumia katika mazingira gani? Hali ya barabara? Traffic jam? Unahitaji ikupe Km ngapi kwa lita kwa mizunguko ya kawaida?

Tuanzie hapo.
 
I'm open minded kupokea mawazo mbadala kama mkuu ipo unaifaham ipo vizuri naomba nijuze maana mimi kidogo kwenye eneo hili ni mweupe
 
toyota rush cc 1490, goes everywhere, drives 5 in comfort, manual or auto, within your budget. Need i say more?
 
Hivi harrier zina 4WD?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…