Gari nzuri ya CC chini ya 1500 budget 14m-18m

Heri ya mwaka mpya.

☺️ Heri ya mwaka mpya kwako pia Kasinde...

Hebu nawe weka uzoefu wako wa ndiga gani ndugu yetu achukue...lakini isiwe zile gari za macrush tu
 
☺️ Heri ya mwaka mpya kwako pia Kasinde...

Hebu nawe weka uzoefu wako wa ndiga gani ndugu yetu achukue...lakini isiwe zile gari za macrush tu

Sasa Msafiri umeniwahii....

Sina uzoefu mwingine zaidi ya Nissan Patrol...

Crush for life 😅.
 
2-3-3 (mbele kwa suka na abiria wake, siti zinazofuata pale mlango unapo slide, nyuma)

Noah inabeba hivyo mkuu...
Nilikua nakutania mkuu. Umeiona lakini bodaboda ya Watu nane ilivyosomba kijiji? Kwa mwendo huo Noah si inaondoka na nchi nzima?
 
Mm ninayo premio 1790cc, ninachoweza kukushauri hapa naomba ununue hiyo premio ziko vizuri sana kwa kila kitu


Nb: siku iz watu wenye premio wakikutana wanasalimiana kwa kuwasha taa mara tatu (3).
 
Mm ninayo premio 1790cc, ninachoweza kukushauri hapa naomba ununue hiyo premio ziko vizuri sana kwa kila kitu


Nb: siku iz watu wenye premio wakikutana wanasalimiana kwa kuwasha taa mara tatu (3).
Unamuda gani nayo mkuu na ni generation ya ngap? maana pia kuna wadau humu wameshaur nitafute 2nd generation sasa bado sijapata mwanga zaidi

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Kwako kivulini ,

Kwanza hongera . Selection uliyochagua ni nzuri

Kuna corolla pia ambazo zipo kama Premio ( corolla police ) ni nzuri na himilivu

Nimeona umeongelea wingi wa kuwepo spacio, kibongo - bongo hiyo huwa inaashiria kwamba

Vipuri ni vingi, mafundi pia wanazimudu.

Lakini haujatuelezea maeneo gari yako itakapokua inatumika mara kwa mara
Ikiwa ni pamoja na hali ya barabara yake n.k

Ikiwa upo serious , nipo tayari kukupatia ushauri

Zaidi unaweza kupitia hapa
 
Hazija enea sana kama hizo nyingine mkuu, Cc 1500, comfotability safi, ina space ya kutosha ndani
 

Attachments

  • btff.jpg
    51.3 KB · Views: 108
Mkuu bado naendelea kutafakari taarifa mbali mbali hivyo naomba ushauri zaidi dhidi ya SUV cars ili kama ni kujipanga upya kibajeti na vingine ili niweze kupata kitu kizuri ambacho hakitanisumbua maana pia nimesikia mtu unaweza kufunga gesi gari ikiwa na cc kubwa na wanasema ni rahisi japo sina taarifa zaidi maana ukiwa ngazi ya 8 ni rahisi kufika ya 10 kirahisi kuliko kuanza upya maana maisha yenyewe ya kuunga unga hivyo ndio maana natamani nipate kitu cha uhakika. Naombeni msaada zaid wadau jua ya SUV maana nimeona kuna rav4 kili time, kuna hizi forester na mengine mengi hivyo naombeni ushauri zaidi wadau. Nawasilisha
 
Chukua premio mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…