Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Noah inabeba watu 10 mkuu? Au wengine wanapakatana
Heri ya mwaka mpya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noah inabeba watu 10 mkuu? Au wengine wanapakatana
Heri ya mwaka mpya.
☺️ Heri ya mwaka mpya kwako pia Kasinde...
Hebu nawe weka uzoefu wako wa ndiga gani ndugu yetu achukue...lakini isiwe zile gari za macrush tu
Nilikua nakutania mkuu. Umeiona lakini bodaboda ya Watu nane ilivyosomba kijiji? Kwa mwendo huo Noah si inaondoka na nchi nzima?2-3-3 (mbele kwa suka na abiria wake, siti zinazofuata pale mlango unapo slide, nyuma)
Noah inabeba hivyo mkuu...
Nilikua nakutania mkuu. Umeiona lakini bodaboda ya Watu nane ilivyosomba kijiji? Kwa mwendo huo Noah si inaondoka na nchi nzima?
Kuna zenye 4wd mkuu japo sio nyingiHizi naskia hazina 4WD mkuu sasa milimani kipindi cha mvua itakuaje?
Na pia mkuu gari inayovuta mbele hata ikiwa 2wd bado ni nzuri sanaHizi naskia hazina 4WD mkuu sasa milimani kipindi cha mvua itakuaje?
Hii ipoje mkuu maelezo zaid kdgChukua Toyota Fielder ya kuanzia mwaka 2008 mkuu
Mm ninayo premio 1790cc, ninachoweza kukushauri hapa naomba ununue hiyo premio ziko vizuri sana kwa kila kituNatumaini wanajamvi wote ni wazima.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa siku za usoni natamani na mimi nipate usafari kwa ajili ya matumiz ya familia na mishe za hapa na pale ruti ndefu mara chache sana 1 au 2 kwa mwaka.
Nimejaribu kupitia aina mbali mbali za magari hadi sasa inayonivutia ni premio 2008. Naomba msaada wa mawazo zaidi kuhusiana na hili maana sina uzoefu sana wa hili hata kama ni aina nyingine nipo tayari kupokea mawazo yenu wanajamvi.
Kikubwa nachoangalia ni hy cc maana ikiwa chini ya 1500 najua consumption ya mafuta itakua chini sasa sinajua ipi ni imara kwa mazingira yetu japo naona IST, raum na spacio naoma zipo nyingi sana.
Naomba mwenye msada wa mawazo kwenye hili maana maintenance ni muhimu sana hivyo naangalia ambayo haitanisumbua.
Asante
Unamuda gani nayo mkuu na ni generation ya ngap? maana pia kuna wadau humu wameshaur nitafute 2nd generation sasa bado sijapata mwanga zaidiMm ninayo premio 1790cc, ninachoweza kukushauri hapa naomba ununue hiyo premio ziko vizuri sana kwa kila kitu
Nb: siku iz watu wenye premio wakikutana wanasalimiana kwa kuwasha taa mara tatu (3).
😀 Kama la Evelyn Salt eeh ? JokeLi Harrier la kaz gani...
Bora achukue Nissan Dualis cc 1900 safi kabisa.
Kwa bajeti ya mleta mada, sifa anazozitaka na uhalisia, hii IST new model ndio gari itakayomfaa zaidi mleta mada.Ist new model 2007-
Yenye Cc 1490.na
Fuel consumption 18'km/l
Price range 19'million nakuendelea
Ina space kubwa kwa ndan tofaut na old modelView attachment 2078718
Sent from my CPH2095 using JamiiForums mobile app
Mkuu bado naendelea kutafakari taarifa mbali mbali hivyo naomba ushauri zaidi dhidi ya SUV cars ili kama ni kujipanga upya kibajeti na vingine ili niweze kupata kitu kizuri ambacho hakitanisumbua maana pia nimesikia mtu unaweza kufunga gesi gari ikiwa na cc kubwa na wanasema ni rahisi japo sina taarifa zaidi maana ukiwa ngazi ya 8 ni rahisi kufika ya 10 kirahisi kuliko kuanza upya maana maisha yenyewe ya kuunga unga hivyo ndio maana natamani nipate kitu cha uhakika. Naombeni msaada zaid wadau jua ya SUV maana nimeona kuna rav4 kili time, kuna hizi forester na mengine mengi hivyo naombeni ushauri zaidi wadau. NawasilishaNi kweli, but gri ya cc chini ya 1500 nafikiri Lazima Ni saloon, then that budget ipo Juu kidogo!
Kwa nini usijisogeze a bit over 2000 mfano harrier Tako la na technology yake consumption na service Ni Rahisi?
Nashauri achana na salun car, go for suv, Ila for suv utapanda Juu kidogo cc Zake!
Chukua premio mkuuNatumaini wanajamvi wote ni wazima.