MACHONDELA
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 940
- 1,573
Mara nyingi ikiwa kwenye mwendo na hasa slow motion eg kama kwenye folenJITU LA MIRABA MINNE
Mi ningeanza na full diagnosis uzuri Runx ina OBD 2 port.
Ishawahi kuzima ikiwa silencer au inazima ikiwa kwenye mwendo?
Inazima mara ngapi kwa siku au kila baada ya mwendo gani au muda gani tokea uiwashe?
Labda ukifika speed flani ndio inazima, au ukiwa umeendesha sana ndio inazima?
Mimi sio fundi ila nilipatwa na tatizo kama hilo kwenye gari yangu.ilifikia kipindi nikiwa kwenye foleni naweka neutral afu napiga race ili isizime.Mara nyingi ikiwa kwenye mwendo na hasa slow motion eg kama kwenye folen