Attachment 333
Senior Member
- Nov 4, 2024
- 103
- 53
Msaada Wadau,
Haka Gari RV4 lina tatizo la kutetema nikiwa nimesimama kwenye foleni au mataa au hata nikiwa nimesimama tu kawaida na Nikiwasha AC ndio kabisa linatetemeka hadi Viti vinatataka kung'ola,
Mlio unatoka kwenye injini na ukiweka gear position ya parking kutetemeka kunapungua,
Niliipeleka kwa mafundi wa garage wakasema ni mountain gear moja imekufa, tumebadilisha baada ya siku moja tatizo limejirudia hadi nahisi wanaotaka tujenge SGR kila kitongoji, Mtaa wamerudi kwa kasi ya Ajabu.
Naomba msaada wandugu mwenye kujua tatizo ni nini!!
Aksante Sana.