Gari tatu (3) za Toyota ambazo Design yake ilikua from Future

Kwenye Funcargo ongezea na binamu zake Ractis na Sienta wanapendwa sana Burundi.
 
Magari ya wajapan hayo.. kule kwao wao wanaona unyama sana ...kulingana na maumbo yao
 
Vigari vina sura mbaya sijui walikuwa wawaza nini.
 
Mada zenu na extrovert Kiukweli me bado najitafuta sio kwamba sijafikiria kuwa gari ila Sina hela labda mwakani
 
hapa waliupiga mwingi
 
Umesahau FJ Cruiser
 
😎 πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kitambo sana sijakuona humu nili kumisi sana
Nipo sema jukwaa lina watoto wengi wa afumbili akili zao wanazijua wenyewe,

kwahiyo ndo umeghairi kuninunulia hicho kidude?
 
Nipo sema jukwaa lina watoto wengi wa afumbili akili zao wanazijua wenyewe,

kwahiyo ndo umeghairi kuninunulia hicho kidude?
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ 😎😎😎😎 hichi achana nacho ngoja nikupe funguo za bmw
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ 😎😎😎😎 hichi achana nacho ngoja nikupe funguo za bmw
Nataka hicho siri ya vigari vya hivyo huwa ni mafuta vinanusa tu na vinapendwa sana na wahindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…