Gari tatu (3) za Toyota ambazo Design yake ilikua from Future

Hicho ki gari cha kwanza juzi nimekutana nacho barabarani, nimeshangaa sana, kwanza aliekiagiza aliwaza nini? Maana unakua na gari kwanza iko moja mkoa mzima, mtu akiiona hata mtaa wa kumi anajua flani hayupo home..
 
Hicho cha kwanza mi nimekipenda,

Probox, funcargo sienta na kampuni ya suzuki wana vigari vingi vya ajabu vingine vipo km bamia mfyyu
Acha kufananisha bamia na vitu vya ajabu
 
Kwamba prius huipendi? Tuna taste tofauti sana, kwangu ni moja ya designs nzuri sana. Sema tu sio mpenzi wa saloons/sedans, napenda zaidi hatchbacks na suv.
Napenda sana sedans ila hiyo prius sijawai kuipenda kimuonekano. Gari za toyota sedans nazikubali crown, brevis, mark x, cresta, mark II old model, allion imekaa vizuri sana, premio.

Suvs nazo ni gari nzuri pia hasa kwa sisi wanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…