Gari tatu (3) za Toyota ambazo Design yake ilikua from Future

Macho yanatofautiana kila mtu na preference zake, hata belta huwa naona kimuonekano sio nzuri.
Belta, Will vs zote, Toyota BB, Funcargo na Mirai model ya 2017 ni gari za hovyo sana kutoka Toyota sio kwa design bali kwa kila kitu.
 
Hiyo Toyota Will VI ni mbaya mnoo labda ndio maana hata mtaani sijawahi kuziona
 
Kuliko kumiliki hiyo kitu ni bora tu mtu uwe na bajaj ujue moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…