Gari: Toyota Raum

g4cool

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
429
Reaction score
206
Mimi ni kijana mwenzenu nataka kununua gari, na katika kupitita pitia kwenye mitandao nimekutana na aina hii ya gari TOYOTA RAUM, na nimeipenda na na nataka kuinunua, ila kabda sijafanya hivyo naomba nipate ushauri kutoka kwenu.
 
Ni gari nzuri nimeitumia sana tu halafu hata bei yake ni ya kawaida from 8M to 9m. inakula mafuta vizuri pia tatizo iko chini but unaweza ongeza spacer. spare zake ni cheap na hupatikana kirahisi, kuwa makini na parking coz vijana wa gerezani wanazipenda sana, coz wakiifuma wanaondoka na show yote ya mbele inabaki Rejeta na sometimes wanatoa ha hiyo, Bumper la nyuma. taa zote za nyuma control box. na baadhi ya vitu kwenye dashboard. hapo uandae 4m kuirudisha iwe gari.
 
Mlachake

Je, ukiweka vile viribit cjui vya kuzuia.
 
Last edited by a moderator:
je ukiweka vile viribit cjui vya kuzuia

ha ha ha juzi wameng'oa ule urembo wa kwenye milango kama mkanda wa gari yangu na ilikua na viribiti vya kutosha.

halafu baba taa ya nyuma na bamper huwezi weka ribiti. halafu side mirror nilisahau kutaja huwa wanang'oa jumla hawatoi kile cha ndani tena wanatoa gari inabaki kama paka aliyekatwa masikio.
 
hahahahahhah kama paka nicheka san
 
Ukiipambanisha na SPACIO JE???

Spacio ni nyepesi sana kwenye acceleration kuliko Raum, and its more comfortable. mimi siiipendi kwasababu naona kama ipo delicate sana.

Spacio zina engine capacity tofauti kuna 1450(1500) na 1750 (1800) so ulaji wa mafuta ni tofauti hiyo ya 1450(1500) inakula sawa na raum tu.

Katika driving spacio ni more confortable than Raum.

my comfortability rates kwa gari ndogo nilizo wahi kutumia

1. corolla runx au Allex.
2. IST
3. Spacio new model
4. Raum
 
IPSUM si ina CC kama 2000 Hivi au
 

ni spacio yenye injini gani kati ya hizo ulizotaja nzuri zaidi
 

Chukua lendikruza new model hizo zinapuliza tu mafuta. Very economy.
 

Vp hizi gari za Joti Komedian?

Toyota SIENTA kuanza maisha kwa kijana kwani naskia ni CC 900
 
Vp hizi gari za Joti Komedian?

Toyota SIENTA kuanza maisha kwa kijana kwani naskia ni CC 900

Kimsingi sina expirience na sienta ila kimoja ninachojua ni family car nzuri coz in space ya kutosha na ni economical kwenye fuel but I have never been lucky to drive/use one
 
nahitaji kununua TOYOTA WISH nayo ikoje?

Same case applies to this one ila angalizo nakupa moja tu! usinunue za four wheel Drive kama una mpango wa kuitumia katika safari ndefu! but kama ni kwa matumizi ya hapa mjini hata zenye four wheel ni okay.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…