Gari: Toyota Raum

Kimsingi sina expirience na sienta ila kimoja ninachojua ni family car nzuri coz in space ya kutosha na ni economical kwenye fuel but I have never been lucky to drive/use one

Ahsante sana ndg. Kweli unachokisema.

Leo nimefanya review yake ina CC 1496 hadi 1500, 7 passangers, 5 doors, Engine VVT-i, Fuel consumption 14 to 19 km per litre, nyingi ni 2WD japo inasadikika na 4WD zipo. Pia milango yake ni Electronically driven.

Mapungufu yake wanasema ni Lack of interior gadgets, Rear shape, na Spare zake bado upatikanaji wake ni washida Afrika Mashariki. Mf. Taa kubwa zake za mbele na nyuma.

Ni magari maarufu sana nchini Kenya na Uganda.
 
Hivi nyie mnaokimbilia vigari sijui RAUM,PORTE,PROBOX,VITS, PASSO, IST,n.k ni kwamba magari ya kiume kama V8, PRADO, HARRIER, RANGE mnakuwa hamuyaoni au ndo kusemaje!!!!!!!!!!?????? yaani mtoto wa kiume hata haibu huna unazichangachanga ili ununue kigari hata vyura wawili tu wakikaa hawaenei
 

yaani we we unasema hivyo wakati hata godoro huna!!
 
yaani we we unasema hivyo wakati hata godoro huna!!
Ningekuwa mmoja wenu nyie mnaokimbilia vigari kwa hela za vimishahara na mikopo, ningekuwa namiliki showroom ya hvi vigari vyenu. Chukua hiyo hela kainvest mwisho wa siku ununue gari za jinsia ya kiume siyo hvi vigari vya bati.

ANGALIZO; Mwanaume kuendesha hvi vigari ni kuaibisha wanaume wenzio
 
mkuu Hivi raum Old model Nazo zinaibiwa taa na vijana wa gerezani Vp upatikanaji Wake wa spare?

Wizi wa vitu vya magari hauchagui umaarufu wa gari, mara nyingi kama gari limewekwa katika mazingira ya kuibiwa kirahisi wanaiba au kama kuna mtu aliwahi kuibiwa kifaa kama hicho akaagiza watafutiwe.

Spea ya Raum new model ni rahisi kupatikana kwasababu ni corolla boss
 
Spacio new model cc 1800 ulaji wa wese upoje na vipi bei zake kwenye yard za hapa Dar
 
Raum old model ni mashine sana, hizi zinafanana na corola 110 na rav4 old model, raum new model ni mayai kidogo bati lile, general kama mtumiaji unafanyia service you will never regret mkuu, nakushauri daka raum.
 
Jamani chukuni Passo yenye piston 4 hauutajutia pesaa yako
 
[emoji23][emoji23]paka aliekatwa sikio duuh umenichekeshaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…