Maana yake kuwa gari inaweza KUZUNGUUSHA TAIRI ZOTE 4 (4WD),na mara nyingi inatumika kwenye sehemu zenye matope, michanga au zinazofanana na hizo.Ushamba na magar ni tatizo pia
4w kirefu chake nn wakuu?? Na inakaz gan kwenye gar??
Na muonekano nao unamatter, hata ukikaa home unamuangalia 'mtoto' unajidai. Raum na Spacio zina sura mbaya
Mimi ni kijana mwenzenu nataka kununua gari, na katika kupitita pitia kwenye mitandao nimekutana na aina hii ya gari TOYOTA RAUM, na nimeipenda na na nataka kuinunua, ila kabda sijafanya hivyo naomba nipate ushauri kutoka kwenu.
Acha dharau kijana.Hivi nyie mnaokimbilia vigari sijui RAUM,PORTE,PROBOX,VITS, PASSO, IST,n.k ni kwamba magari ya kiume kama V8, PRADO, HARRIER, RANGE mnakuwa hamuyaoni au ndo kusemaje!!!!!!!!!!?????? yaani mtoto wa kiume hata haibu huna unazichangachanga ili ununue kigari hata vyura wawili tu wakikaa hawaenei
Unatoa ushauri mzuri ili mtu aamuehii nasikia inakula wese. USINIULIZE KAMA NILITAKA ILE UGALI