Gari toyota rav 4 killtime inavibrate usukani

Gari toyota rav 4 killtime inavibrate usukani

longola

Senior Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
106
Reaction score
254
Wakuu habari za leo?

Naomba wataalamu wanisaidie hili. Gari rav 4 killtime ina vibrate sana kwenye usukani na hasa ikiwa silent utadhani trecta. Niliipeleka kwa fundi akasema labda engine mounting zimeisha.. tukabadilisha zote lakin hamna mabadiliko yoyote kabisa.

Tukabadilisha na plug original nne kwenye engine lakin wapi.

Tafadhali wataalamu naomba msaada wenu katika hili.
 
Kwenye Engine mounting kuna bush, zitakuwa zimekwisha na vibration inakuja ikiwa silence
 
Kwenye Engine mounting kuna bush, zitakuwa zimekwisha na vibration inakuja ikiwa silence
Kuna bush flan fundi alizabadilisha pc 2 zinauzwa 70k.. sasa sijui ndo izoo au la. Yaan ikiwa silence ndo balaa utaichukia gari. Ikiwa kwene motion inapungua kidogo.

Na kila mtu nikimpa gari aendeshe lazima ashangae ile vibration jinsi ilivo..
 
Wakuu habari za leo?

Naomba wataalamu wanisaidie hili. Gari rav 4 killtime ina vibrate sana kwenye usukani na hasa ikiwa silent utadhani trecta. Niliipeleka kwa fundi akasema labda engine mounting zimeisha.. tukabadilisha zote lakin hamna mabadiliko yoyote kabisa.

Tukabadilisha na plug original nne kwenye engine lakin wapi.

Tafadhali wataalamu naomba msaada wenu katika hili.
Cheki steering rack mzee baba na wheel alignments.
 
Kuna bush flan fundi alizabadilisha pc 2 zinauzwa 70k.. sasa sijui ndo izoo au la..
Yaan ikiwa silence ndo balaa utaichukia gari. Ikiwa kwene motion inapungua kdgo
Na kila mtu nikimpa gari aendeshe lazima ashangae ile vibration jinsi ilivo..
Mafundi wahuni, alinunua bush OG za gari au ameweka bush za katambuga zile. Maana mie kuna kima alibadilisha hio mounting ya chini akaenda ku press likatambuga!

Hio vibration gari ikiwa katika gear ya kwanza utadhani mashine ya kusaga. 😂😂😂 ila ikianza kutembea inaacha.

Nna hakika bush imechongwa hio.
 
Back
Top Bottom