longola
Senior Member
- Oct 15, 2015
- 106
- 254
Wakuu habari za leo?
Naomba wataalamu wanisaidie hili. Gari rav 4 killtime ina vibrate sana kwenye usukani na hasa ikiwa silent utadhani trecta. Niliipeleka kwa fundi akasema labda engine mounting zimeisha.. tukabadilisha zote lakin hamna mabadiliko yoyote kabisa.
Tukabadilisha na plug original nne kwenye engine lakin wapi.
Tafadhali wataalamu naomba msaada wenu katika hili.