Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Mwaka wa 7 sasa unauliziaga bei za audi,bmw,mercedes lkn hata kununua hununui.

Si bora hata mwenye kapasso anaujua utamu wa kigari chache kuliko kujua utamu wa germany cars kupitia youtube.
Watu humu wana dharau tu, huku wengi humu bado wapambanaji tu.
 
Duuuh ukweli mchungu aisee

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
maisha maisha. umaskin ndio tatizo ndio mana unaona kila anayetaka gar ananunua zenye sifa hizo. kama wewe maskin ho for toyota.hizi zingine zitakupq shida kwanza mafund weng bongo hawajasoma mechanics kwa hio wanakuwa wanabahatisha.sasa magarvyabulaya mtaishia kuyaona kenya tu
 
Ww unamiliki gari Gani?
 
Wakuu,
Mbona hii iko wazi nadhani kuna factors za msingi ambazo zinachangia hasa kwa watu wa kipato cha kati. Ukiangalia dhamani ya pesa yetu ukachanganya na kodi za TRA ni kichomi tayari.

Pia elimu yetu na exposure ni ndogo kuna wazee wanapesa nzuri ila akienda kuomba ushauri kwa mafundi wa magari mtu anataka Discovery utasikia hizo ni mbovu sanaa ogopa magari ya EUROPE chukua tu gari za Japan, so hapo tayari tunakosa uzoefu wa magari ya EUROPE.

Pia kuna mob psychology, nadhani after a time gari kubwa na brand tofauti zitakuwa nyingi.

Kipind SUBARU zinaingia mafundi na wabongo wengi walizisema vibaya juzi nimeshangaa kuona zipo namba moja pale Bforward... soon zitakuja Mazda na si sitangangaa kusikia VW zinaanza kuuza sanaa bongo just because of the mob psychology.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…