Gari ya Biashara (Coaster) inauzwa!

Gari ya Biashara (Coaster) inauzwa!

Parachichi

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2008
Posts
510
Reaction score
102
Wakuu salaam!Eee bwana nauza gari aina ya Coaster kama ifuatavyo!

Model:HDB31
Aina:TOYOTA COASTER
MODEL yake ni Box Body
Engine type:1 HDT
Year of Manufacturer 1990
Year of Ist Registration in Tanzania May 2009
Sababu za kuuza:Mmiliki anaenda masomoni nje ya nchi
Kazi inayofanya kwa sasa:Kukodishwa kama Tours
Insurance iliyopo kwa sasa:Comprehensive ya 40 million-Expiring date June 2011
Sumatra Certificate iliyopo:Njia zote Tanzania a.k.a Staff bus
Bei 33 milion mazungumzo yapo
Dalali:NO
Contact:+255 713 466 829 AU ni PM
 
wasi wasi wangu ni kwamba haya ndio matangazo madogo madogo
 
Back
Top Bottom