Gari ya binafsi kuwa ya biashara

KAKAO

Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
61
Reaction score
10
Ndugu zangu naomba msaada, nimenunua gari kwa mtu Hiace Super Custom nzuri sana, alikuwa anaitumia kwa safari za hapo Dar binafsi. Sasa nataka kuibadili kuwa ya biashara. Je;

1. Kubadili kadi isome jina langu
2. Kufungua faili TRA kulipa kwa awamu
3. SUMATRA ruti
4. Plate namba za biashara (nyeupe)

Vinaweza kugharimu Tsh. ngapi? Na je kwa siku 5 vyote vyaweza kukamilika? Nipo Moshi. Msaada tafadhali.

Soma Kubadili plate number kutoka private kwenda commercial

Pia Kubadili plate number kutoka private kwenda commercial
 
kwa uelewa wangu mimi kubadili jina la kadi na matumizi ya gari kutoka private kwenda commercial, ni kitu cha siku 1 tu tena ni ndani ya masaa.. iwapo utakuwa na vibali halali vya kuonesha kutoka kwa aliyekuuzia hiyo gari..gharama ni kama 110,000 kama sijasahau..
mambo mengine ya sumatra sina uzoefu.
watakuja wataalam kwa msaada zaidi.
 
Wakuu huu uzi ni wa siku nyingi ila mimi nina shida na kujua taratibu za kubadili gari iwe commercial kutoka private, gharama zake ni kiasi gani na utaratibu upoje???
 
Wakuu msaada juu ya Uzi huu japo ni wa muda mref kdogo Nina shida na kujua hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…