Gari ya bure kwa anaehitaji.

Gari ya bure kwa anaehitaji.

Per Diem

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Posts
2,189
Reaction score
3,724
Habari wana jf,
Nina gari aina ya Toyota Mark II Grande (gx 110), nimeitumia kwa zaidi ya miaka minne sasa na hali yake sio mbaya sana japo inahitaji marekebisho kidogo kwenye tairi za nyuma( kubadilisha tu ball joints).
Nimefikiria kuiuza lakini changamoto za wanunuzi na usumbufu wa kila aina sitaki kabisa, hivyo kwa dhati hii gari nitaiacha na nitaitoa bure kabisa kwa yeyote anaehitaji.
Kwa nini sasa? Kwa sababu nina safari ya kwenda mbali kidogo mwezi huu mwishoni na kurudi yaweza kuwa miaka minne au mitano ijayo.

Updates;
Gari nimemkabidhi leo mr.leonard muda wa saa 1:30 usiku huu na ameshukuru sana ila yafuatayo ndio yalijiri;
- Huyu jamaa sidhani kama anaishi dar, kwa sababu tulikubaliana leo saa 4 asubuhi ila alikuwa na excuses nyingi sana na pia anaonekana hayafaham maeneo vizur ila alipofika dar ni kama alipata mwennyeji(rafiki zake)wa kumleta huku kwangu. Sijakipenda hicho kitu kwa kuwa alinambia anaishi dar
- walikuja watatu, yeye na rafiki zake wawili ila mmoja wa rafiki zake alijaribu kunipiga picha kwa siri kitu ambacho sikukipenda(sikujua dhamira yake ni nini).
- Hafaham kuendesha gari na aliokuja nao ndio waliendesha na nilimuuliza jana wakat tunachat akanambia alipata leseni ya udereva toka 2006.

Mwisho kabisa ni mtu anaonekana makini sana ila kuna vitu hakuweka wazi ambavyo nimevisema hapo juu. Makubaliano yetu ni kuwa asinitaje jina langu kabisa, ila anaruhusiwa kuja humu kusema na hata kuweka picha za gari(bila plate number)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmhhhhh,,,
,
images
 
Habari wana jf,
Nina gari aina ya Toyota Mark II Grande (gx 110), nimeitumia kwa zaidi ya miaka minne sasa na hali yake sio mbaya sana japo inahitaji marekebisho kidogo kwenye tairi za nyuma( kubadilisha tu ball joints).
Nimefikiria kuiuza lakini changamoto za wanunuzi na usumbufu wa kila aina sitaki kabisa, hivyo kwa dhati hii gari nitaiacha na nitaitoa bure kabisa kwa yeyote anaehitaji.
Kwa nini sasa? Kwa sababu nina safari ya kwenda mbali kidogo mwezi huu mwishoni na kurudi yaweza kuwa miaka minne au mitano ijayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
tunakufikia vp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom