Gari ya bure kwa anaehitaji.

Hyo desktop nimekueleza wataikuta wataokuja kupanga hapa! Ila ningeweza kukupatia ww hyo kesho, ili tu uamini nachokisema! Sasa huyo witnessj sina sababu ya kumpatia

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Mbweni kubwa nipe Direction Mbweni ipi USWAHILINI,MPIJI,MALINDI au JKT? Block gani na Plot namba nimtume mtu aje kuchukua au drop coordinates.
 
Huyo mtu atakayekuja kuchukua ndio nampa mimi,mie nipo arusha siwezi kuja huko kesho saa nne ila kuna mtu anakaa Mwenge ni Rahisi kuja huko!!
Bro suala la computer ulionyesha hauna uhitaj, sasa ivi unasema kuna mtu atakuja nimpatie! Ila unazingua kinoma, anyway nimeamua kuwaacbia wataokuja hapa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanini usiigawe kwenye hospitali iliyo karibu na wewe...wakaifanya gari ya wagonjwa
 
Ina maana ww hauna rafiki au hta jirani mlioshibana kama swahiba wa karibu, mpka umtafute mtu kwenye mtandao uku! Et ndio uje umpe iyo srepa bure! Kuna jambo c bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina maana ww hauna rafiki au hta jirani mlioshibana kama swahiba wa karibu, mpka umtafute mtu kwenye mtandao uku! Et ndio uje umpe iyo srepa bure! Kuna jambo c bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kama vile watu wana data za bure vile! ...Hata kama wewe ni yatima usiye na ndugu wala rafiki, hata jirani huna? Vipi kuhusu kuwapa Salvation Army au Red Cross, ambao wamejitoa kusaidia jamii kwa upana wake?

Cut it out SOB; sio hulka ya mwanadamu!
 
GARI IMESHONDOKA HIYO INARUDI KWA MEMBER
kwa uhakika kesho aliyeipata si mbaya akituwekea kapicha ka hiyo gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…