King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Sawa Mkuu hajaniambia,Vipi gari kashapewa?King Kong lll, Kwani huyo witness amekwambia nahitaji hiyo desk top ?, muache Per diem apumue mimi nimemuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Mkuu hajaniambia,Vipi gari kashapewa?King Kong lll, Kwani huyo witness amekwambia nahitaji hiyo desk top ?, muache Per diem apumue mimi nimemuelewa
Uliambiwa uende pale saa 4 ukashuhudie anavyokabidhiwa hiyo gari muhusikaSawa Mkuu hajaniambia,Vipi gari kashapewa?
Angeuza. Skrepa asingekosa hata nauliJamani kama mumesoma comment vizuri alisema hakutaka kumpa mtu anayemfahamu kwasababu siku ikizingua ataanza lawama kwamba amempa kitu kibovu au ambacho hakifai simunajua ndugu lawama? ndio maana akataka kumpa mtu asiyemjua kabisa.
Mkuu, kwani dada yake hamtoshi? Yaani unaona kumnaniliu dada yake haitoshi unataka amuongezee na gari?
Hahahaaa labda aliona usumbufu
Kwanini huyo member aliyepewa gari asijitokeze?Uliambiwa uende pale saa 4 ukashuhudie anavyokabidhiwa hiyo gari muhusika
Aibu, kupewa kitu ya bwerere unadhani ni jambo jema ?Kwanini huyo member aliyepewa gari asijitokeze?
tuliomba kitu kimoja tu, aliyepewa ni Member wa humu ajitokeze na ampe shukrani mtoajiWana jf tuache kubeza kila kitu huyu jamaa inaonekana aligawa gari kweli kweli na inaonekana hayupo hapa nchini.