Gari ya diesel ikiwekwa petrol

Gari ya diesel ikiwekwa petrol

popolon

Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
52
Reaction score
54
Hii inatokea kwa magari mengi sana
Unakuta umeenda kituo cha mafuta Watoa huduma mara nyingi sana wanafanya makosa na kukuwekea petrol kwenye gar ya diesel au diesel kwenye gari ya petrol

Gari ya petrol kuwekwa diesel madhara yake yanajitokeza hapo hapo na pengine inaweza ata usiwake na gharama za kusafisha fuel system kwa gari ya petrol si kubwa sana zinabebeka.

Swala zito ni pale gari ya diesel ikiwekwa petrol
Gari itawaka na unaweza kutembea ata kilometer 8 had 10
Ila baada ya hapo utakuwa unaharibu system nzima ya mafuta kwa maana kuanzia pump na injector nozzles au injector units kwa magari makubwa

Nini kifanyike kama tu umegundua mapema umewekewa petrol kwenye gari ya diesel

1.usiwashe gari kabisa
2.shusha tank haraka na mwaga mafuta yotee na usafishe tank
3.weka diesel ya kutosha baada ya kusafisha tank
4.weka 500ml of injector cleaner solution
5.washa gari yako na iache ikae kwa muda idle
6.weka gia ondoka

Kama umeshindwa kujua na umeendesha gari yako ikiwa na petrol badala ya diesel baada ya muda mfupi gari itaanza kuleta miss na kutoa moshi mwingi mweusi na kupoteza nguvu yake ya awali

Nini kifanyike
1.peleka gari garage
2 .tank ishushwe na kusafishwa.
3.toa injector nozzle zote na pump
4.zipime injector na pump
Bila shaka zitakuwa zishakuwa damaged wasiliana nasi kwa maana tunamashine za kisasa za kupima nozzle na pumps za common rail na pia tunarepair pumps na injector nozzle za aina zote


Mawasiliano
0716505153
Dar es salaam-tabata magengeni
1543390038618.jpeg
1543390056408.jpeg
1543390088397.jpeg
 
Hivi hii kitu hutokea?...mtu anakoseaje?[emoji15]
 
Sukari ikizidi kwenye kikombe dawa yake ni kuongeza chai iwe nyingi then sukari unaweza usiisikie tena
 
Sukari ikizidi kwenye kikombe dawa yake ni kuongeza chai iwe nyingi then sukari unaweza usiisikie tena
Nikwel mkuu kama umewekewa petrol kiasi unatakiwa upige full tank diesel na uongeze oil kidogo kama 250ml ilikukata ile petrol.karibu
 
Mzee wangu aliwahi pata huu msala ukizingatia gari ilikuwa mpya hata mwezi haina ilibid Shelli imlipe
 
Ndio mara nyingi hizi ni mistake za vituo vya mafuta ikitokea tu usiondoe gar hapo hadi wao walishughulikie ilo.karibu
Mzee wangu aliwahi pata huu msala ukizingatia gari ilikuwa mpya hata mwezi haina ilibid Shelli imlipe
 
Ungenielewesha tu ...sasa unataka/ unaniombea yanikute tena[emoji15] ?
Kuna baadhi ya magari wahudumu hawajui kama hili ni la diesel na hili ni la petrol kwa mfano gari kama BMW 335d,
Mercedes-Benz E250 hivi zinatumia diesel kwa mwonekano kwa vile ni ndogo utajua inatumia petrol !!!
 
Kuna baadhi ya magari wahudumu hawajui kama hili ni la diesel na hili ni la petrol kwa mfano gari kama BMW 335d,
Mercedes-Benz E250 hivi zinatumia diesel kwa mwonekano kwa vile ni ndogo utajua inatumia petrol !!!
Asante mkuu kwa kunidadavulia[emoji120]
 
Haya mambo huwa yanatokea hasa pale mnapoazimana magari na unayemuazima hajui vizur aina za magari zaid y akujua kuliendesha tu
Mfano Discovery, yeye anajua ni disel kumbe ni petrol sasa yaye akifika sheli anaenda kuweka kule anakowazia na ukute wahudumu wa shel nao sio wajuzi
 
Back
Top Bottom