Elections 2010 Gari ya Jakaya Kikwete

Elections 2010 Gari ya Jakaya Kikwete

Gurta

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
2,233
Reaction score
532
Labda ni macho yangu lakini ile gari ni mil-grade kweli? Mi nadhani nimeona a customized Nissan Patrol.
Hii imekaaje? Tumekosa gari mil-grade la kumbeba prezidaa wa nji hii kweli? Mpaka kwenye haya pia wanachakachua?
 
Itakuwa ile military hermmer imekufa wakatengeneza yakwao pale nyumbu kwakutumia nissan patrol pickup!!
 
Kwanini wasinunue nyingine mbona nimeona new models za BMW nyingi pale?
Kumbuka Hammer haizidi USD 65,000 wakati zile BMW za kumwaga pale ni zaidi ya USD 100,000 each..
 
Labda ni macho yangu lakini ile gari ni mil-grade kweli? Mi nadhani nimeona a customized Nissan Patrol.
Hii imekaaje? Tumekosa gari mil-grade la kumbeba prezidaa wa nji hii kweli? Mpaka kwenye haya pia wanachakachua?
I dont see an issue to be discussed here!
 
Hermer ndo nini?
Nyundo??
Nissan najua ni aina ya gari.
 
ni kweli jamani ...uchaguzi wametushinda...sasa tuhamie kwenye magari..... NISSAN PATROL SI GARI JAMANI ...AU WADAU MNASEMAJE?
 
labda ni macho yangu lakini ile gari ni mil-grade kweli? Mi nadhani nimeona a customized nissan patrol.
Hii imekaaje? Tumekosa gari mil-grade la kumbeba prezidaa wa nji hii kweli? Mpaka kwenye haya pia wanachakachua?

uwe unaleta mada za kueleweka humu ndani, sio unakua kama wapuuzi wa ccm
 
Hermer ni gari? Hiyo sio mada ya kuleta jamvini!
 
I dont see an issue to be discussed here!

Well, you just discussed. I hope the next thing wont be copying and pasting my profile in the next post!
Whatever the case
 
naungana na PAS

leteni issu ingine hii iwe :closed_2:

magari achaneni nayo
 
3.jpg
 
Attachments

  • 3.jpg
    3.jpg
    42.5 KB · Views: 33
hii mada mbona nzuri tu, kwa nini rais atumie mgari kama ule??......really its not normal
 
Labda ni macho yangu lakini ile gari ni mil-grade kweli? Mi nadhani nimeona a customized Nissan Patrol.
Hii imekaaje? Tumekosa gari mil-grade la kumbeba prezidaa wa nji hii kweli? Mpaka kwenye haya pia wanachakachua?

Kaka kuna tatizo gani hata kama rais au Ikulu ikiamua kuwa mfano rais akatumia Brand new Mark II au vitara iliyofanyiwa marekebisho.

Kuna some standards viongozi wetu wanafuata lakini hazina maana kabisa.

Jiulize hili swali

Kwa nini vazi la rasmi la wabunge ni suti? kwa nini kusiwe japo na siku moja wabunge waruhusiwe kuvaa mavazi ya kitamaduni.? Sometime sisi wenyewe tunaua creativity ,ajira masoko yetu wenywenyewe alafu tunatafuta mchawi.
 
mi sioni shida hapo, kwani hiyo mil grade ni sh ngapi na hiyo alotumia jk sh ngapi, kama alotumia is more expensive ntamind!
 
Back
Top Bottom