Hili gari pichani linauzwa kwa bei ya Tsh. 9,500,000 (maongezi yapo). Injini yake ni ya Mitsubishi. Ukubwa wa Injini ni CC 2200. Ina bodi ya kuweza kubeba mizigo, yaani pick up.
Matairi ni makubwa kwa hiyo linamudu kupita kwenye barabara korofi kwa sababu gari lipo juu.
Mbele linaweza kuchukua abiria wanne mbali na dereva. Pick up yake inaweza kubeba mizigo ya tani 1.
Gari kama hii ukinunua unaenda kuweka injini ya Toyota mfano 2L, 3L, nk. Mitsubishi kwenye bodi wako vizuri. Ila siyo kwenye injini. Nyingi ya gari zao huwa zinasumbua sana.