Hii gari kwa nini haitoki na wakati bado mpya! Jaribu kuwatumia picha madalali wa humu jukwaani ili wakusaidie. Au ndiyo wateja wamekariri gari imara ya kazi ni mitsubishi Fuso na Mitsubishi Canter tu?Moja tu. Na Tangazo nimeliweka mara ya pili sasa.
Nashindwa kuelewa kwanini haitoki. Nimetafuta madalali wa humu, lakini wameshindwa kuiuza. Labda kama yupo dalali unayemfaham nisaidie mawasiliano yakeHii gari kwa nini haitoki na wakati bado mpya! Jaribu kuwatumia picha madalali wa humu jukwaani ili wakusaidie. Au ndiyo wateja wamekariri gari imara ya kazi ni mitsubishi Fuso na Mitsubishi Canter tu?
Nashindwa kuelewa kwanini haitoki. Nimetafuta madalali wa humu, lakini wameshindwa kuiuza. Labda kama yupo dalali unayemfaham nisaidie mawasiliano yake
Hio gari si ya kampuni mkuu, unaiuza kwa minajili ipi?Wakuu Habari za jioni. Nauza gari ya kazi kwa bei ya nafuu kabisa.
Make: Eicher
Mode: truck
Model number: MC2B6
Year of manufacture: 2017
Engine Capacity: 3298
Fuel used: Diesel
Seating capacity: 3
Mileage: 15868
Price 32 Millions
Gari ipo kwenye hali nzuri kabisa, unaweza kuja kuiona, inapatikana Tabata Kinyerezi,
Mmiliki ni mimi mwenyewe
View attachment 1741488
View attachment 1741489
View attachment 1741490
DistributorHapana Mkuu. Me nilikua distributer tu. Karibu tufanye biashara Mkuu.
Mkuu hiyo bei nimeishusha sana. Lakini hakuna kitakachoshindikana, kama uko tayri we nambie tuzungumzeBei mbaya. Labda hujafikiria 32 milions inaweza nunua nini kingine. Kwa pesa hiyo unaweza pata Nissan Civilian 'mpyaa' kutoka Japan.
Au Mitsubishi Canter; ambazo ni gari za uhakika. Hiyo ni ndoa ya Kikristo mkuu!