Car4Sale Gari ya kazi inauzwa

Car4Sale Gari ya kazi inauzwa

Kuna mganga nafahamiana naye yuko Iringa ni kiboko kuna dawa akikupa lazima mzigo uuze leo leo hata kama gari ni bovu.
Mie mwenyewe huyo mganga kanisaidia sana kwenye biashara yangu ya majeneza
😂😂 Itabidi uniunge nae
 
Gari bado ipo wakuu. Na bei imepungua kidogo
 
Yani urasimishaji wa hio gari kwamba ni yako ama ilishapita mikono kadhaa kabla ya kumfikia mmiliki wa sasa?
Gari ni yangu na haijapitia kwa mtu, nimenunua mpya kabisa zero km . Baada ya biashara na coca kunishinda nimeamua kuiuza.
 
Back
Top Bottom