Gari ya kukodi inahitajika

Gari ya kukodi inahitajika

Yaan sio tu kuchomwa moto bali hata ikikamatwa imebeba vitu tofauti na kwenye mkataba ni kosa na linatakiwa kuwepo kwenye mkataba

Mkuu kama una uwezo wa kulipa endapo mkataba utakiukwa si ununue la kwako tu?
Hizo gharama za kukodi na kufanya service n.k kwa muda huo wote wa kampeni ukiongeza hela unanunua yako...
 
Kila kitu kina mpango wake kumiliki gari nzima itahitaji 15m sasa nikitumia 1m kuna shida gani mkuu, lila kitu ni mpango so ni utaratibu
 
Na ukiona mtu yupo tayari kwa mkataba huo ujuwe anaenda kufanya kazi halali na sio magumashi maana yake kuna uhakika wa kutunza chombo cha mtu na kurudi salama
 
Kila kitu kina mpango wake kumiliki gari nzima itahitaji 15m sasa nikitumia 1m kuna shida gani mkuu, lila kitu ni mpango so ni utaratibu

Umepanga kutumia 1m kumlipa huyo unayataka akuazime gari kwa muda wote wa kampeni?
Bila shaka kampeni zitachukua si chini ya siku 60 ( miezi miwili), kwa malipo hayo ya 1m ni sawa na wastani wa 16K kwa siku!
...mh, sidhani kama kuna mtu atakubali kuachia gari yake hata kama haitumii kwa malipo hayo, labda uwe mkweche!
Hata bajaji hupati kwa hiyo budget!
 
Hi

Hiyo ni burget yako ya kichwani tu ndugu gari nimeshapata nyingi sana ninachofanya ni kuchagua gari yenye ubora zaidi na matumizi ya mafuta so usijali kwa hilo usilalamike na usicho kijuwa ni ngumu sana kujuwa ila ungekuwa na gari ungeshanifuata PM mda
 
...nilichokisema ndio uhalisia, si budget ya kichwani! Labda kama umepata si kwa budget ya 1m kwa miezi miwili maybe, labda kwa wiki kadhaa au utalipa zaidi ya 1m kwa huo muda wa kampeni ambao si chini ya miezi miwili! Na huo ndio ukweli na uhalisia!
Halafu kujana relax, huna haja ya kuanza mipasho! Kuja pm ndio kipimo cha kujua nina gari ama sina?
Haya tufanye sina,si gari tu hata kitanda!
 
Wewe ndio umekosea mkuu ulitakiwa kuniuliza kuwa gari utatumia mda gani, na sio kwamba ililenga kampen za miezi miwili hata siku kumi nayo ni kampen tosha
Ulichokosea ni kuja na hesabu bila kujuwa huyu mtu amejipanga vipi au mda wake ukoje na atatumia siku ngapi katika harakati zake
 
Uliposema hiyo cost ya 1m mbona hukusema moja kwa moja kuwa si muda wote wa kampeni sasa?
...then by the way ulivyoandika bandiko lako na kusema ni muda wa kampeni umegeneralize!
Ingekuwa vyema kama ungesema utatumia siku kadhaa na siyo muda wote!
Anyway nikutakie kila la kheri...
 
Anakodi ka gx110 kalikochoka choka baada ya kampen akishinda anaenda kulipwa 13m per month ,300k per kikao,90m mkopo wa kununulia v8
#kupanganikuchagua[emoji41]
 
😂😂😂😂😂♥️
 
Back
Top Bottom