Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu amini kabisa hatua zote hizo nilichukua, sema kuna shida tu somewhere bado hatujaigundua, maana wanasema ni kawaida eneo hilo sensor kugoma
Sio TAZaRA kweli?
leseni za kununua hizUnawezaje kuendesha gari wakati huna sifa za udereva...gari inawashwa na boda boda wewe ndio uendeshe kazi ipo hapo
Kilicho ongelewa na chanzo cha tatizo havina uhusiano wowote na leseni , kwa sababu leseni haiendeshi gari mzee, kwa kilicho tokea hapo hata dereva mwenye class C1 na uzoefu wa miaka 100 barabarani kinaweza kumkuta , hilo ni swala la technology tu na technology sio ya baba yako mzee, waswahili tatizo ujuaji mwingi utadhani wanajua kumbe wapumbavu tu.leseni za kununua hiz
Wewe sio dereva.
Unawezaje kuendesha gari wakati huna sifa za udereva...gari inawashwa na boda boda wewe ndio uendeshe kazi ipo hapo
Mimi yangu kuna alama ya ufunguo kwa dash board.Kuna alama ya ufunguo kwenye dashboard? Au Kuna Alam yeyote? Vinginevyo piga picha msg unayopata kwenye gari tukupe solution
Battery imeisha kwenye ufunguoMimi yangu kuna alama ya ufunguo kwa dash board.
Kuna shida?
Ahsante.Battery imeisha kwenye ufunguo
Zinauzwa 5000 mpaka 15,000Ahsante.
Kweli naona key moja haifunction kabisa.
Hizi battery zinauzwa sh ngapi?
Dah yaan ukatoa buku tano duh...ndo kupata experience...next time issue kama hyo chukua funguo sogeza karibu kabisa na switch ya push to start Gari itawaka..shida signal zinakua zinaingiliana nA kufanya signal za funguo kuwa weak au kua interfered na kafanya system ya security ya ignition kushindwa kutambua code za funguo.habari za jioni wakuu, niliazima gari ya rafiki yangu kwenda nayo sehemu flani, wakati wa kuondoka sehemu hiyo nilijaribu sana kukanyaga brake ili ni push the button kuwasha gari ila ikagoma kabisa,
Pembeni kulikua na bodaboda wengi nkajaribu kuomba msaada wakaniambia eneo hilo kuna minara mingi sana ya ofisi mbalimbali na mitandao ya simu, hvyo gari ukizima hadi lisukumwe hadi sehemu flani ndio liwake sababu hua sensor inakata. Mwingine akasema hua eneo hilo tatizo hilo lipo, akampigia simu mtu fulani akaja ndani ya dakika 2 hv, akaingia ila cha ajabu yeye alivyokanyaga brake naku push tu the button gari ikawaka, na ikabidi nimpe buku 5.
Si kwamba funguo niliiweka mbali wala ilikua mkononi mwangu hapo hapo na gari haikuwaka. Je nawe ushakutana na changamoto hiii? hakuna uhuni unaofanyika katika sensor hizi? a Au ndio ushamba ?
Hii issue si kwa Toyota tu..wajapan wengi wana isssue hii..yaan ukienda tu hapo maeneo ya kiwanda cha Araf...funguo ya sensor (immobilized key) inasumbua kufanya kazi.Gari ya aina gani? Toyota?
Ni kweli kabisa nami yalinikuta sehemu hiyohiyo na mgeni wangu tunaenda kukata ticket tazara ye anatalii tu Sasa kukaribia tazara hapohapo alaf kulikua na foleni kali tulikaa muda mrefu mpaka nikaamua nizime Gari.Maeneo ambapo hizi gari (push to start/press button) zinasumbua sana kuwaka unapozima ni pale junction ya Tazara/ Bakhressa/ Dar Group Hospital/.. Nilikuwa pia napata sana shida, ila suluhisho ni kuweka hiyo sensor (funguo) palepale kwa start button unapo switch on gari yako..
Hahahaha pole sana mkuuNi kweli kabisa nami yalinikuta sehemu hiyohiyo na mgeni wangu tunaenda kukata ticket tazara ye anatalii tu Sasa kukaribia tazara hapohapo alaf kulikua na foleni kali tulikaa muda mrefu mpaka nikaamua nizime Gari.
Kimbembe foleni ilivyoanza kusogea kila nikiwasha Gari hola funguo haisensi nilipagawa na mahoni napigiwa mgeni wangu akakasirika akaniambia you need to service your car. Baada ya several attempts ndio likawaka.
Tukaingia ndani tazara pia kila nikibonyeza lock button kitu hairespond dash nikatoa funguo nikalock manually.
Nilipoteza credit kwa mbebe asee akaniona naendesha kimeo.