Chukua ISUZU Bighorn bei 1900 USD (CIF) mpaka bongo.Habari wana JF
Niliwahi kuleta Uzi wa kutaka kununua gari ya Tsh. 7M lakini wengi walinishauri tapata kimeo hivyo ilibidi nijichange Kwa muda mrefu na nimefanikiwa kufikisha tsh. 12M
Naomba ushauri ni gari Gani litanifaa Kwa hiyo pesa ambalo taagiza Moja Kwa Moja kutoka japane na sio Kwa mtu.
Zingatia. Sijawahi kumiliki gari na Wala Sina elimu yeyote kuhusu Gari, sijui kuendesha, usafiri wangu ni boda yangu tu.
Binafsi nilitamani IST new model lakini mkwanja wake naona mrefu.
Wakuu ushauri wenu
Kwa uhakika kwa sifa hizi...Habari wana JF

Ukumbuke kodi ni based on cc mzeeπChukua ISUZU Bighorn bei 1900 USD (CIF) mpaka bongo.
View attachment 2116398
View attachment 2116401
Gia 7 kupangua sini mateso mkuuπππ hii ikitokea emergency lazma kiumaneLeta 10M nikupe nissan xtrail kinanda.
Engine yd22,
mzigo ni DIESEL,
kama ni mpenzi wa manual hapa ndio mahala pake, ina gia 7(6+1 rivasi)
SPEED 220 ukiwa unapenda kukimbizana itakutoa roho, kiyoyozi to the maximum kama upo mjini Moscow kwa Ankali PutinView attachment 2116412View attachment 2116413View attachment 2116414
Duh! Mkuu hili dude si la kubeba watalii kabisaa afu maintenance yake inaweza kunitoa nyongoChukua ISUZU Bighorn bei 1900 USD (CIF) mpaka bongo.
View attachment 2116398
View attachment 2116401
Kiongozi nashukuru Kwa ushauri wako ni mzuri sana na IST old model ni second choice yangu Kwa kuwa sina tena pa kuzichanga kufikisha pesa ya new modelKwa uhakika kwa sifa hizi...
1. Ni mara yako ya kwanza kumiliki gari
2. Huna ujuzi wowote wa kumiliki magari
3. Budget yako ni 12m
Gari inayokufaa zaidi ni Toyota IST old model. Huwezi kujutia kabisa.
Naona pia umewaza kuhusu Toyota IST new model, lakini jibu unalo tayari, gharama ya kuweza kulinunua iko juu zaidi japokuwa ni gari nzuri pia. Kama hiyo ndio dream yako, na ikiwa ni suala la kufa na kupona basi inabidi uvute subira na ujipange zaidi ili ujiongeze na kufikia around 16m ili kufikia ndoto zako.
Mkuu me ni hustler tu, Hilo linawafaa wenye mkwanja mrefu wa kulihudumiaLeta 10M nikupe nissan xtrail kinanda.
Engine yd22,
mzigo ni DIESEL,
kama ni mpenzi wa manual hapa ndio mahala pake, ina gia 7(6+1 rivasi)
SPEED 220 ukiwa unapenda kukimbizana itakutoa roho, kiyoyozi to the maximum kama upo mjini Moscow kwa Ankali PutinView attachment 2116412View attachment 2116413View attachment 2116414
Tofauti na IST ningekushauri kuchukua Spacio new model, around 13-14m unavuta mkoko kutoka Japan.Kiongozi nashukuru Kwa ushauri wako ni mzuri sana na IST old model ni second choice yangu Kwa kuwa sina tena pa kuzichanga kufikisha pesa ya new model
Hii Nissan X-trial sio gari ya kuanzia maisha kwa kijana anayetafuta mjini kwa kupambana na mwenye ndoto za kumiliki gari kwa mara ya kwanza. Hii ainunue fundi wa magari au mzoefu wa magari.Leta 10M nikupe nissan xtrail kinanda.
Engine yd22,
mzigo ni DIESEL,
kama ni mpenzi wa manual hapa ndio mahala pake, ina gia 7(6+1 rivasi)
SPEED 220 ukiwa unapenda kukimbizana itakutoa roho, kiyoyozi to the maximum kama upo mjini Moscow kwa Ankali PutinView attachment 2116412View attachment 2116413View attachment 2116414
Tofauti na IST ningekushauri kuchukua Spacio new model, around 13-14m unavuta mkoko kutoka Japan.
Usione hizo gari zimejaa barabarani huku mitaani, zina sababu zake za msingi.
π Hamna mateso, kwa wapenda kugonga gia ni burudani mzee.Gia 7 kupangua sini mateso mkuuπππ hii ikitokea emergency lazma kiumane
Kwamba ni mbovu sana ama?Hii Nissan X-trial sio gari ya kuanzia maisha kwa kijana anayetafuta mjini kwa kupambana na mwenye ndoto za kumiliki gari kwa mara ya kwanza. Hii ainunue fundi wa magari au mzoefu wa magari.
Huduma gani mkuu? Kama ni suala la spea, tafuta toyota, haswa ist, humo utatuliza nafsi.Mkuu me ni hustler tu, Hilo linawafaa wenye mkwanja mrefu wa kulihudumia
Aah hapo labda uwe jason frisby! Maana yule chalii gari ya manual anaumanisha gia kama automatic yani!π Hamna mateso, kwa wapenda kugonga gia ni burudani mzee.