van_drakee
Member
- Sep 28, 2018
- 30
- 57
Kwa ushauri tu kwa ela hiyo unaweza kuagiza kutoka japaniHabari wana JF
Niliwahi kuleta Uzi wa kutaka kununua gari ya Tsh. 7M lakini wengi walinishauri tapata kimeo hivyo ilibidi nijichange Kwa muda mrefu na nimefanikiwa kufikisha tsh. 12M
Naomba ushauri ni gari Gani litanifaa Kwa hiyo pesa ambalo taagiza Moja Kwa Moja kutoka japane na sio Kwa mtu.
Zingatia. Sijawahi kumiliki gari na Wala Sina elimu yeyote kuhusu Gari, sijui kuendesha, usafiri wangu ni boda yangu tu.
Binafsi nilitamani IST new model lakini mkwanja wake naona mrefu.
Wakuu ushauri wenu
1 ratics
2.sienta
3. Na raumu kidogo
Ila kama unataka spacio, runx au allex au ist old model inabid uwe na 13 - 14milion maana bei zake zimechangamka Sana kutokana na demand ya watu kuzinunua sana