Gari ya Tsh. 12M

Gari ya Tsh. 12M

Habari wana JF
Niliwahi kuleta Uzi wa kutaka kununua gari ya Tsh. 7M lakini wengi walinishauri tapata kimeo hivyo ilibidi nijichange Kwa muda mrefu na nimefanikiwa kufikisha tsh. 12M
Naomba ushauri ni gari Gani litanifaa Kwa hiyo pesa ambalo taagiza Moja Kwa Moja kutoka japane na sio Kwa mtu.

Zingatia. Sijawahi kumiliki gari na Wala Sina elimu yeyote kuhusu Gari, sijui kuendesha, usafiri wangu ni boda yangu tu.

Binafsi nilitamani IST new model lakini mkwanja wake naona mrefu.

Wakuu ushauri wenu
Kwa ushauri tu kwa ela hiyo unaweza kuagiza kutoka japani

1 ratics
2.sienta
3. Na raumu kidogo
Ila kama unataka spacio, runx au allex au ist old model inabid uwe na 13 - 14milion maana bei zake zimechangamka Sana kutokana na demand ya watu kuzinunua sana
 
Hapo panga siku moja utakayoamka vizurii, piga chai nzito, Ongozana na jamaa yako mmoja mzoefu katika kumiliki magari trip nyepesi mpaka Jan japan, kwa pesa yako utaondoka na chuma kikaliiii. Ama laa subiri mwisho wa mwezi wanatoa gari kali kwa bei ya punguzo.

Ama laa agiza honda fit, Nissan Note, Suzuki swift, Suzuki Sx4, Mazda Demio. Pesa itakayobaki unatia android radio, bufa la kwenda, rim kalii, na Full tank ya mwezi, uongeze foleni mjini hapa.

Achana na matoyota bhanaa, mfano ukichukua ractis speed ukifikisha 100kph kanaanza kupepesuka.
 
Kiongozi nashukuru Kwa ushauri wako ni mzuri sana na IST old model ni second choice yangu Kwa kuwa sina tena pa kuzichanga kufikisha pesa ya new model

IMG_5604.jpg

Mkuu nakushauri uendelee kujichanga uchukue hiyo Ist second generation "new model", gari ipo luxury, imetulia, inakula 18.3km/l highway na 15.3 km/l town.....kiukweli naka enjoy sana haka kandinga.[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
View attachment 2117288

IST imekua luxury lini?
 
Habari wana JF
Niliwahi kuleta Uzi wa kutaka kununua gari ya Tsh. 7M lakini wengi walinishauri tapata kimeo hivyo ilibidi nijichange Kwa muda mrefu na nimefanikiwa kufikisha tsh. 12M
Naomba ushauri ni gari Gani litanifaa Kwa hiyo pesa ambalo taagiza Moja Kwa Moja kutoka japane na sio Kwa mtu.

Zingatia. Sijawahi kumiliki gari na Wala Sina elimu yeyote kuhusu Gari, sijui kuendesha, usafiri wangu ni boda yangu tu.

Binafsi nilitamani IST new model lakini mkwanja wake naona mrefu.

Wakuu ushauri wenu
Chukua IST 2005 kwa hio 12m unaagiza mwenyewe from JP vizuri tu.
Screenshot_20220212-215715.png
Screenshot_20220212-215452.png
 
Habari wana JF
Niliwahi kuleta Uzi wa kutaka kununua gari ya Tsh. 7M lakini wengi walinishauri tapata kimeo hivyo ilibidi nijichange Kwa muda mrefu na nimefanikiwa kufikisha tsh. 12M
Naomba ushauri ni gari Gani litanifaa Kwa hiyo pesa ambalo taagiza Moja Kwa Moja kutoka japane na sio Kwa mtu.

Zingatia. Sijawahi kumiliki gari na Wala Sina elimu yeyote kuhusu Gari, sijui kuendesha, usafiri wangu ni boda yangu tu.

Binafsi nilitamani IST new model lakini mkwanja wake naona mrefu.

Wakuu ushauri wenu
Chukua ushauri wangu mkuu
Kwa hiyo pesa nenda showroom nzuri dar utapata toyota spacio new model 1490cc ya seat 7 hautokuja kujuta. Spacio na ist ulaji wa mafuta zinafanana tu ila spacio inabeba watu zaidi
 
Mkuu hata me naona hii Corolla spacio itanifaa zaidi Kwa kuwa ina siti 7 na Kwa sasa Nina mke na mtoto 1.
Acha nitafute hiyo 1M niongezee nikachukue spacio new model
 
Gari gani yakishamba hio kwani wewe ni mzee au mshamba wa vijijini? Ongera Pesa ufike 15 nunua zako Crown or Bmw uenjoy maisha achana na ivyo vigari vyakubebea nyasi spacio sibebi hata bure hata kwa lift sipandi ni mara mia nitembee
 
Back
Top Bottom