Hili gari linatisha sana kuliangalia! Kinachonishangaza ni ujasiri wa Tundu Lissu kutaka kulitengeneza na kulitumia tena.
Gari hilo ni kielelezo cha jinsi ilivyo vigumu kuutoa madarakani mfumo CCM. Gari hilo lihifadhiwe makumbusho ya Taifa kwani ni alama ya ukombozi wa mtanzania.
Tundu Lissu ambaye ni makamu mwenyekiti wa CDM anastahili kununuliwa gari mpya. Hapaswi kutengeneza ile gari ya zamani iliyo na matundu ya risasi.
Hilo tumemzui liwe KUMBUKUMBU kwa vizazi vijavyo tutapitanalo kila mtaa kila kijiji kuonyesha utukufu wa Mungu juu ya Uovu wa shetani kituo cha kwanza ARUSHA
Hakika nadhani ni Sahihi kwa Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA kuliweka MAKUMBUSHO Gari la Makamu Mwenyekito wake Mh.Tundu Lissu ktk MAKUMBUSHO ya CHAMA hicho .Kufanya hiyo kukiambatana na HISTORIA NZIMA ya namna alivyopigwa Risasi na WANAOJULIKANA yenye na Dereva wake itasaidia Vizazi vijavyo kuwajua Jinsi WATAWALA walivyokuwa Wanatumia RISASI kuua VIONGOZI wa UPINZANI.Historia hiyo itafanana na Historia ya Mapambano ya kutafuta Uhuru iliyofanywa na Mwl.Nyerere Miaka hiyo
Kwa wakati huu CHADEMA ipo kwenye Historia ya KUDAI KATIBA MPYA na TUME HURU ya UCHAGUZI.VIONGOZI wa CHADEMA lifanyie kazi WAZO hili ili vizazi vijavyo WAJUE mlikuwa MNAWINDWA na WATAWALA.
Hilo tumemzui liwe KUMBUKUMBU kwa vizazi vijavyo tutapitanalo kila mtaa kila kijiji kuonyesha utukufu wa Mungu juu ya Uovu wa shetani kituo cha kwanza ARUSHA