Dkt. Gwajima D hajasema chochoteWaziri Doroth Gwajima aione hii
Naam😄😄upo kama mimi mkuu
Mi bado hajanishawishi mpaka sasa, vitu navyovitaka bado sijavisikiaAmezuka tu km upepo ndo maana
Tuanze na 2020 election kwanzaUnataka awataje kwa majina watu wa system? Ama