Gari yako ishawahi kukuambia hivi?

Bruh nchi hii watu wengi wameanza kunusa nusa pesa 2000s 😆
Ushamba tu.

Gari ni kitu cha kawaida sana.

Wanasema tembea uone. Na kusafiri ni elimu.

Kuna nchi hapa duniani watoto wa high school [miaka 16-18] wanajaza parking lots za shule zao.

Kwao ni jambo la kawaida sana. Kwa wengine, ni jambo la ajabu sana.

Go figure.
 
Sio duniani hapa hapa bongo
AKM tuu hapo madogo wana roll na volvos
 
Sio duniani hapa hapa bongo
AKM tuu hapo madogo wana roll na volvos
Hahaaa!

Ndo maana nikasema ni ushamba tu.

Humu humu JF, nadhani ilikuwa ni 2013…..kuna mtu alikuja kuuliza tofauti ya Visa na MasterCard.

Nikajitolea kumwelewesha.

Akaja mtu mmoja akasema kwamba eti najidai kwa kuwa nina ATM cards za Visa na MasterCard.

Hivi kuwa na ATM card ni jambo la ajabu? Mbona hizo kadi ni kitu cha kawaida sana 🤣.

Ushamba tu.
 
Achana na yule mshamba mkuu.
Huyo hata hana lolote alikuwa anatafuta tu attention yako
 
Hata malori haya nasikia yanayo hio kitu, kuanzia ku-test ulevi na uchovu, "nasikia" ukiwa na kiwango cha pombe kikubwa haiwaki na ukiendesha kwa muda mrefu bila kusimama au kupumzika inajizima....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…