Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante…..nawe tushajua una gari 🤣.Ukitumia lane assist na cruise control imewahi niambia ivo. Na kujipunguza speed juu.
Hahahaaa hilarious.Corolla yangu ya 1990 inayo pia hiyo feature isipokuwa yenyewe haikwambii kwa sauti bali kwa vitendo. Unajikuta upo kwenye korongo tu, hapo utajua kuwa you were distracted, if you are still alive that is😃😃
Sahihi.Unamvunjia heshima sana, Platnum member kaka mkubwa Ngabu
Ndio muache kufanya ngono kwenye magari sasa.Haya magari ya siku hizi noma sana.
Pata picha uko kwenye highway, expressway, freeway, interstate, etc.
Kwenye uendeshaji wa magari kuna kitu kinaitwa highway hypnosis.
Ile hali ambayo ukiwa unaendesha gari lakini unajikuta unaacha kuwa attentive na kuangalia barabarani na akili yako inakuwa kwenye mambo mengine.
Sasa ikitokea hivyo, baadhi ya haya magari ya siku hizi yana monitoring system ambayo itakujulisha kuwa umeanza kuwa distracted.
Baadhi yata flash ki message kuwa attentiveness yako ni ndogo.
Mengine yana PA system itakayokuambia kwamba umeanza kuwa inattentive.
Mimi kwa mara ya kwanza iliponitokea, ilikuwa ni hiyo sauti.
Nilishangaa sana. Gari inajuaje kuwa mimi macho yangu yameacha kuangalia ninakokwenda hadi kuniambia kuwa nipo distracted?
Ni safety feature nzuri. Ila, kwa upande mwingine, hiyo siyo intrusion kweli kwenye faragha zetu?
Yawezekana haya magari ya siku hizi yana vi camera vya kufuatilia nyendo na matendo yetu?
Magari yote yakwenu hayakimbii kama Gari alilonipa bibi yangu 😁😁Lc v8 sahara pia ina hio safety feature gari ya 2022+
4,200 ccCc ngapi?
🤣🤣labda viatu vikatike😂
T11 hainaga mambo mengi
😂😂 Ni rahisi kama unamsukuma mlevi.T11 hainaga mambo mengi
Kabisa hadi wauza nyanya wana range 😀😀View attachment 3076616
😁😁😁 Uko Dar sehemu gani kesho nikupitie .. Tutumie yanguHahahaha....huyo kama mm m range nnazo 4🤣🤣
Mkuu unahangaika na wendawazimu hao? Kuna watu mioyo Yao imejaa chuki tuGari ni big deal?
Kuna watu washamba sana.
Inferiority complex tu.
Mkuu unahangaika na wendawazimu hao? Kuna watu mioyo Yao imejaa chuki tuGari ni big deal?
Kuna watu washamba sana.
Inferiority complex tu.
😁😁😁 Uko Dar sehemu gani kesho nikupitie .. Tutumie yangu
Kesho asubuhi mizunguko mingi.. Tuangalie weekend nikutoe out 😀😀Niko kigamboni mkuu😅