Gari yako ishawahi kukuambia hivi?

Gari yako ishawahi kukuambia hivi?

Hamkosekanagi watoto wa mwaneromango ni full uswahili hamuwezi kabisa kumezea jambo bila kuleta maneno yenu ya unyagoni hongera sana kwa kungwi wako dada angu
Ni ushamba tu.

Karne hii ya 21 mtu kuwa na gari wala si jambo la ajabu, geni, wala la kipekee.

Halafu siku hizi kuna watu hawana magari si kwamba hawana uwezo wa kununua.

Hawana kwa makusudi tu. Wanataka wawe na active lifestyle.

Wanataka kutembea kwa miguu. Wanataka kuendesha baiskeli, na kadhalika.

Hawataki kulemaa kwa kutegemea teknolojia.

Pia kuna sehemu kuwa na gari ni kero tu. Parking shida. Kuendesha shida.

Mtu anaona kutokuwa na gari ni ahueni.
 
Teknologia imeenda mbali Sana... Sikuhizi wanakuja magari ambayo Sisi madereva yanatufanyia kilakitu
Kwangu kikubwa ni faragha.

Unakuta gari lina 360 surround view camera.

Who is to say hakuna mwingine zaidi yako mwenye access na hiyo camera?

Mtu utajiridhishaje kuwa hauwi monitored na watu wasiojulikana huko?

Binafsi napenda sana simplicity ya magari ya zamani.

Haya ya siku hizi ka kitu kamoja kakiharibika gari lote linashindwa kufanya kazi.

Na kulitengeneza mpaka upeleke kwa dealer.
 
Kabisa hadi wauza nyanya wana range 😀😀View attachment 3076616
9d3cf973f7d37fcc034f2cfb3aca71b8.jpg
 
Kwangu kikubwa ni faragha.

Unakuta gari lina 360 surround view camera.

Who is to say hakuna mwingine zaidi yako mwenye access na hiyo camera?

Mtu utajiridhishaje kuwa hauwi monitored na watu wasiojulikana huko?

Binafsi napenda sana simplicity ya magari ya zamani.

Haya ya siku hizi ka kitu kamoja kakiharibika gari lote linashindwa kufanya kazi.

Na kulitengeneza mpaka upeleke kwa dealer.
Mwanzo wa mada yako ,nilijificha nyuma ya mlango nitachangia nini Mimi na Corolla yangu ,mwamba anabadilishwa oil nikipata mkopo benki Wala hanuni Wala kulalamika yeye fresh tu ,safari popote
 
Mwanzo wa mada yako ,nilijificha nyuma ya mlango nitachangia nini Mimi na Corolla yangu ,mwamba anabadilishwa oil nikipata mkopo benki Wala hanuni Wala kulalamika yeye fresh tu ,safari popote
Madhali inafanya kazi yake ya kukutoa pointi A kwenda pointi B na wakati mwingine mpaka pointi C, sioni shida ilipo.
 
Madhali inafanya kazi yake ya kukutoa pointi A kwenda pointi B na wakati mwingine mpaka pointi C, sioni shida ilipo.
Mkuu Nyani Ngabu nafurahi kusikia hivyo siku ile umepandisha hii mada nilihisi umeniumiza sana moyo wangu kila nikiona uzi basi roho ilikuwa inasononeka Ila Sasa nahisi Raha sana .
Huyo mwamba wangu hachagui habagui Mimi kambi popote hata Mbeya _Dar nimetoboa naye Hana ajizi ,ukifika Mbeya nijuze nimlete umuone ni yeye pekee wa kimo na sura huyo mwenye number plate ya ukoo wangu
 
Kwangu kikubwa ni faragha.

Unakuta gari lina 360 surround view camera.
0
Who is to say hakuna mwingine zaidi yako mwenye access na hiyo camera?

Mtu utajiridhishaje kuwa hauwi monitored na watu wasiojulikana huko?

Binafsi napenda sana simplicity ya magari ya zamani.

Haya ya siku hizi ka kitu kamoja kakiharibika gari lote linashindwa kufanya kazi.

Na kulitengeneza mpaka upeleke kwa dealer.
Mwisho wa siku itabidi tuenende na technology inakoelekea
 
WEKA WI-FI, WEKA WI-FI, HUU SIO MDA TENA WA KUWAZA KUISHIWA NA DATA, ROUTER NI BEI NDOGO TU!

⚫KWENYE BISASHARA YAKO WEKA WI-FI

⚫KWENYE SHULE WEKA WI-FI

⚫KANISANI WEKA WI-FI

⚫KAZINI WEKA WI-FI
⚫KWENYE KAMPUNI WEKA WI-FI

⚫NYUMBANI KWAKO WEWE NA FAMILIA YAKO WEKA WI-FI

⚫CHUONI WEKA WI-FI

⚫UNA SECURITY CAMERA FUNGA WI-FI

⚫SEHEM ZINGINE AMBAZO SIJAZITAJA WEKA WI-FI

TUMIA DATA UNLIMITED, YANI BILA KUWAZA KUA GB ZITAISHA?

NJOO NIKUPE ROUTER ZENYE UWEZO MKUBWA TECNOLOJIA YA 5G SPEED HADI 200mbps, NA UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO !

MKOA WOWOTE ULIPO HUDUMA INAKUFIKIA NDANI YA MDA MFUPI

GHARAMA NI NAFUU SANA, ( pia laini pekeyake bila router nakuwezeshea bando unlimited kwa bei poa )
NICHEKI: 0717700921
 
Back
Top Bottom