Lamar BlacAmerican
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 974
- 2,305
Kuna fundi mmoja Yupo ilala ni balaa kwa kazi hizo mpelekee gari hiyo akufanyie miujiza jamaa Yupo ilala garage
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba yake ya simu Pliz.Kuna fundi mmoja Yupo ilala ni balaa kwa kazi hizo mpelekee gari hiyo akufanyie miujiza jamaa Yupo ilala garage
Ukienda naomba usisahau mrejesho.Inaitwa evolution, ipo kamata pale mbele ya be forward.
Fanya uchunguzi kidogo.. Weka oil mpya..endesha gari mpaka kilomita kama 4000.. Alafu badilisha oil weka mpya.. Check perfomance kuanzia mlio wa engine. Acceleration.. Engine power kwenye milima.. Na ukiwa watumia air condition.. Oil ikiwa mpya na ikiwa umeshatembea km4000 then uje ulete mrejeshoNaona watu wengi wanazungumzia Oil oil oil.....,sijajua effect ya oil katika ku-improve engine performance, maana ninachojua kazi kubwa ya oil ni kufanya lubrication na engine cooling.
Performance ya engine inaletwa na ratio nzuri ya mafuta na hewa kwenye combustion chamber.
Change air filters, safisha air cleaner, check injector nozzles, na fanya upya tappet clearance.
0715518670Namba yake ya simu Pliz.
Mzee umeivaa inabidi uanzishe kagroup ka wasap ili uwe unatusaidi IkibidiiHahahahaha naona wengi mnapotoshana na kupeana ushauri harafu wengi wenu.humu sio mafundi.kidogo wenye.uelewa wanachangia vitu vyenye tija lakini bado kikamali.kamali flani hivi.
Sometimes ni bora zaidi kukaa kimyaa.kuliko kuchangia kwa maZoea.
Mm mnao miliki magari wengi sana nawashangaa na mnanishangaza sana hapa jamvini mnaweza kuuliza swali mkajibiwa kutokana na uulizaji wako swali mkienda gereji nyie ndio sasa mnakuwa zaidi ya fundi ukifika gari yangu haina nguvu naomba unibadilishie oil sijui hydrolic ya gearbox na plug.
Je hivyo ndio tatizo?
Mfano hapo juu umesema gari yako imebadilika performance mm kama mm hapo kuna ishu mhimu au kubwa mbili 1 tatizo hilo laweza kusababishwa na upande wa injini
2.tatizo hilo laweza kuwa upande wa gearbox.
Hapo kikubwa cha kwanza nilazima ww kama unauelewa wa gari au ni fundi lazima uweze kutenganisha hilo au kutambua.hapo kuwa tatizo lipo upande gani.
Mfano kama mm unaniletea gari yako lazima kwanza niangalie performance ya engine naiweka kwenye parking or neutral harafu naiwasha na kuisikiliza .ukitaka kutambua parforamance ya engine kwa uharaka zaidi nenda kwenye bomba la moshi angalia autput yake. Ni moshi wa aina gani unatoka,sogeza pua au macho kwenye engine moshi.rangi ya moshi inakutambulisha hali ya engine au performance ya engine,harufu ya moshi pia kwenye pua au ikikuingia machoni pia inakutambulisha condition ya engine.
Sasa hapo kila hali huwa inakuwa na majibu au kiashilia cha nini kibovu.
Nikitest hapo nikion hakuna shaka au hakuna sehem nimeweza kutambua shida mahali nahamia kwenye engine sehem kubwa ambayo inaweza kukupa majibu ya haraka ni ukifungua plug.kwakuwa inapofungwa plug ndio kwenye matokea ya kila kitu ukifungua unaiangalia hali utakayo ikutanayo plug inakujulisha moja kwa moja kama kuna tatizo kwenye mifumo mitatu mikuu kama mfumo wa hewa,uchomaji,mafuta. Kama mifumo hiyo mmoja wapo unashida plug itakujulisha mfumo upi unashida. Mkitaka juu ya hili nitakuja lielezea.
Nikitoka kapa hapo sehem zote zikiwa powa nitahamia kwenye upande wa gearbox,transmission kwanza kabla ya yote unaipa gari mzigo unawasha A/C unaangalia engine imerespond vipi sailensa imeongezeka au kupungua kawaida inatakiwa iongezeke,unazima na AC na kuweka gear r then d unaangalia gari ine itikia vipi imepandisha silensa au laa kwa kawaida lazima ukiipa mzigo ipandishe sailensa kidogo.
Hayo yakiwa sawa sasa hapo unaweka D na kuachia brake bila kukanyaga peda ya kuongeza mwendo unaangalia mwitikio wake kikawaida hapo inatakiwa gari imove taratibu okey labda ipo kwenye mwinuko kidogo unajaribu kukanyaga mafuta kidogo ukiona hairespond kwa haraka basi ujue kuna shida kwenye gearbox.
Mafundi huwa tunasema unajaribu kuchimba .unakanyaga pedal ya mafuta kwa kustukiza kwa haraka mpaka chini kabisa na kuachia hapo gari inatakiwa kukurupuka au ichomoke kwa kasi isipofanya hivy kuna shida so ndio uanze kudili na sehem husika maana unaweza ukavimba kichwa kurekebisha engine kumbe tatizo ni transmission.
Na kingine simu zipo mzitumie vizuri dr wa kwanza wa gari yako uwe wewe information zote za gari yako ww ndio unatakiwa uwe mstari wa mbele kuzifaham unakuta mtu anamiliki gari.hajui hata gari yake ina engine gani plug gani inatumia.wengi mnaingia cha.kike kila engine ina type yake ya plug.chukua aina ya injini serch aina ya plug mtandaoni itakupa aina zaidi ya 5 kampuni tofauti na mbadala wake.unaweza ukanunua.plug.original lakini sio zinazo stahili kwenye gari yako.
Harafu msemo huo wa original sijui hata mnautumiaje.
Mfano plug original ya 1NZ FE engine ni SK16R11 or IK16 or PK16R11 or PK16TT or K16R-U11 hizo ni aina ya plug zinazofungwa kwenye engine hiyo.
Na hapo aina hizo zote za plug ni kutoka kampun moja tuu ya DENSO zipo pia kampun nyingine kama NGK pia naye hapo ana weza kuwa na aina hata 4 kwa engine hiyo tuu.pia kampuni ya bosch n.k
Mwenye swali au kunikosoa sehem ni ruksa mm nifundi mchanga hayo machache nayafaham.
Wabongo tubadilike kwa kupenda vya bei nafuu.vina madhara sana.
Ndio maana gari kama nissan wengi zinawashinda kumiliki na hata hizi toyota kutwa gereji coz feki spare nyingi.
ATF ndo nnDah, hujawahi kuchange ATF ever since? Hebu kafanye service kubwa, weka plug mpya original za toyota, weka ATF ya BP, badilisha Aircleaner, engine oil.. Lakini pia inategemea na ODO inasoma ngapi hapo kwenye Dashboard, mara nyingi gari ndogo engine ikashavuka 160,000km engine perfomance inapungua especially kwa matumizi ya hapa kwetu, ATF usiwe unaiacha Muda mrefu hivyo.
Automatic Transmission FluidA
ATF ndo nn
Automatic Transmission Fluid
Yes boss...Hii ndiyo oil ya gearbox (hydrolic)?
Habari wana jukwaa.
Gari yangu RunX 2002 yenye engine 1NZ-FE VVTi nahisi kama imepungua performance kidogo ingawa sio easy ku-notice. Mimi na-notice kwakua nimekua nikilitumia kwa muda si naona tofauti.
Kwenye muinuko/mlima naona kama ina lag siku hizi so natakiwa ni press sana accelerator. Also nikiwa nimesimama, nikianza kuondoka ile acceleration inachukua muda sana kukolea, hadi ni press sana gas pedal.
Sijawahi change ATF, na service ninayofanya frequently ni kuchange oil na naitumia ya Total (sijui kama kuna Total za aina nyingi, coz mara zote anafanya fundi).
Pia, sijajua which is the best Oil and ATF kwa engine iyo ya 1NZ-FE VVTi.
Asanteni.