Gari yangu ina tatizo la gia box msaada

Matatizo ni mengi tu lkn anza na simple solutions.

Ungetaja model ya gari yako pia ni manual/auto,mara ya mwisho umebadilisha ATF lini?
 
Gari gani?
kuchelewa kupata mwendo ni injini, na km unaanzia na gia za juu km 2 badala ya 1 itachelewa
na km ni D (drive) kacheki ATF (oil yake)
 
Gari ni Toyota opa , ni auto , ATF Nina kama mwaka sjabadili

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi hua nabadili ATF kila baada ya Km 40,000 hua siangalii sana muda niliotumia,lkn pia magari mengi haya ya Toyota tunaya abuse kwa kutumia wrong/cheap ATF zilizojaa huku madukani yaani hatuzingatii kabisa ATF zinazokua recomended na Toyota wenyewe na zinaharibu gear box kweli kweli.

Vipi ATF inanukia kama harufu ya kuungua hivi?

Hauna leak yoyote ile,angalia pale unapo park gari.

Lkn pia huashauriwi kuendelea kuiendesha gari kibabe huku ukiing'ang'aniza ibadili gia maana unaweza kuiharibu kabisa gearbox wkt unaweza kukuta tatizo labda ni dogo la sensor tu.

Nashauri pia uende kwa wataalam wenye machine za ku-scan(Sio wanaotumia hizi Obd-2 maana hizi nyingi ziko limited kusoma engine faults tu) waichek hio transmission yako kama italeta faults codes.Njia hii ni nzuri zaidi kuliko kufanya guess work.
 
Tena nashauli pia kwa wamiliki wa magari jaribuni kununua oil ambazo ziko approved na watengeneza magari wenyewe ila hizi oil ambazo mnaweka na haxionyeshi gari ipi ndo chanzo cha kuua engine na giabox plz kila gari ina recommendations ya kilainishi inachotumia either kwa kuandika no au aina na gari nyingi za Toyota hasa hizi mpya mpya za kuanzia 2005- wanatumia giabox oil T-4, WS na CTV kwa baadhi ya gari na zingine zikitumia T-2 ila unakuta mtu gari inahitaji t-4 yeye anaiwekea t2/3 hapo unaua giabox bila kujua
 
Asante kk , Nawapata wapi hao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo gari itakuwa inahitaji service tu ya gearbox, tafuta fundi amwage hiyo gearbox oil wafungue sample kabisa wasafishe, then weka oil ya ukweli ya Toyota yenyewe kabisa ni bei kidogo 5ltrs ni laki moja, ukishindwa weka hata Castrol,...usipende kuendesha gari muda mrefu bila kubadili oil ya gearbox kutokana na mazingira yetu na hali ya hewa, angalau kila baada ya service mbili za engine then service ya tatu unamwaga na gearbox oil hata kama itaonekana kutokuchoka sana otherwise utaua hiyo gearbox..!
 
Sawa kk nmekuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na sio kila atf inafit gearbox zote cha muhimu ni kujua aina ya atf inayotumiwa na gari hiyo na kila kampuni za gari zina no zake zinazoonyesha aina ya oil inayofit kwa gari zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…