Gari yangu inachelewa kubadili gia

Msaada ttafadhar gariyang aisomi speedmeter ,aiwaki sehem ya odo pia inachelew kidg kubadil gia mafundiwangu naina wanachem sjui shidanin
Speed sensor au wiring yake kimeo.

No wonder speedometer haisomi.
 
Msaada ttafadhar gariyang aisomi speedmeter ,aiwaki sehem ya odo pia inachelew kidg kubadil gia mafundiwangu naina wanachem sjui shidanin
maelezo yako hayajitoshelezi mkuu,ni ngumu kusaidiwa,eleza gari gani,au engine gani,auto au manual,tulia andika taratibu,humu jf msaada ni mwingi..
 
Ni gari hizi za mfumo wa umeme ama za zamani kidogo?

Au search "delay shifting" kwenye google utapata msaada zaidi.
 
Gear box oil imechoka, umeweka wrong gear box oil, gear box imekufa, gari imekufa, mwenye gari hana hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…