sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ni gari aina ya toyota sprinter, unapozungusha steering wheel (msteringi 😂) kwa sana inaanza kupiga kelele ka ka ka ka, kuna vishindo unavisikia kwa mbali vinavyoambatana na hio sauti.
Na kama vp tusaidiane bajeti ya kutegemea, nsije pigwa na mafundi.
MREJESHO
Sehemu ya kwanza alikopeleka gari rafiki yangu aliambiwa aandae 75,000/=
cv joint mpya - 50,000
grease kopo - 5,000
ufundi - 20.000
Akaja kwangu akalalamika ni bei sana, nimsaidie, tukaenda kwa fundi flani alipochunguza akaniambia ni mpira tu wa cv joint ya upande wa tairi moja imechanika inabidi ubadilishe kwasababu maji yakiingia grease inaingia maji vyuma vya cv joint vinakakamaa.
Matengenezo yakawa ni elf 25 tu kama ifuatavyo
Greasi kopo 1 - 5,000
Mpira wa joint - 10,000
Ufundi - 10,000
Kutoka 75,000 mpaka 25,000 pesa iliyookolewa ni 50,000