gari yangu inamiss. Naomben ushauri wakuu

yusen

Member
Joined
Oct 19, 2020
Posts
54
Reaction score
59
Wakuu naomben msaada gari yangu inamisi sana mbaka mliman inashindwa kupanda ata kimlima kidogotu inataka tambalale na mtelemkoni nilijalibu kwenda garage mafundi wakalekebisha ila baada yawikitu tatizo likajiludia nkajilib kwendatena vilevile likajiludia baada ya muda kidogo.

Naomben ushauri nduguzangun
 
Sawa. Kwanza pole naona limekuambukiza hadi wewe uhandishi.

Kwanza gari gani? Service ya mwisho ulilifanyia nini? Na lini? Na hao mafundi walitengeneza nini?

Miss inaweza sababishwa na vitu vingi na inaweza pia ikasababisha madhara makubwa kwenye gari. Mfano hapo tunaona halina nguvu kabisa.

Service kuanza nayo ni oil & filters, ATF, plugs & coil kwanza.
 
Misfire inasababishwa na mambo mengi
1.plugs
2.coil
3.mafuta machafu
4.fuel filter chafu
Hivi ndio vitu simple vya kuanza navyo.
 
Weka taarifa za muhimu.

Ni gari aina gani?

Huko gereji walibadili nini?

Uko wapi?
 
Weka taarifa za muhimu.

Ni gari aina gani?

Huko gereji walibadili nini?

Uko wapi?
gariyang ni aina ya Duet ina 980cc pindi nilipoenda mafundi walibadili coili inayotoa moto kwenye pragi nilipoludiatena wakabadili ioio coili na inakufa kipindi cha asubii palepind napo washa gar nakuieka sailensa nakusubil sentigred ya joto ifike sehem yake uwa inakua gaflatu unakuta imebadili muungulumo nakuanza kumic
 
saw bat niliipak kwamda wa miez kama6 ivi nakipindi inapakiwa ilikua freshitu bat sikunakuja iwasha nikakuta iocoili moja imekufa nkabadili nyingine nikatumiakidog kama wikinanusuiv ikafa nkaamua kununua plag mpya na coil nuingine nmetumia kama wikitu nayo imekufa lakn plag nzima
 
Ina miss nini?
 
Hukupita hata Ngumbaro?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…