basi kama shida ni feni ,inawezekana hiyo switch alokubadilishia nayo sio nzima ,hawa mafundi sio wa kuaminika ,mimi nimeunga yangu direct maana nilishapasua rejeta mfuniko wa chini ,natembea na gari kumbe feni haifungui vizuri ,inafungua dakika chache inazima ,Pia nilichogundua feni ikifungua hata kama gari iko stationary temperature haipandi kabisa hata ikae masaa mangapi, so yes nikajiridhisha shida ni feni
Nahisi hauko sahihi katika kutoa thermostat.
Sio sahihi kwa injini kufanya kazi chini ya kiwango cha joto stahiki. Geji ya joto ikiwa chini inamaanisha injini inafanya kazi chini ya kiwango cha joto kinachotakiwa.
Na katika sheria za kifizikia maji au coolant yakipita muda woto huwa hayachukui joto na kulitoa sahihi. Inabidi maji au coolant yanyonye joto kwa kutulia kisha hiyo coolant au hayo maji yaliyobeba joto yatolewe kisha yaingie yaliyopoa kuanza kunyonya joto tena. Mzunguko huo ndio sahihi na sio ya maji kupita muda wote. Hayatochukua joto ipasavyo.
Kufanya kitu kwa mazoea pasipo kufuata maelekezo ya watengenezaji na kupata matokeo chanya haimaanishi ni sahihi. Mara nyingi huwa na madhara yanayokuja kuonekana baadae sana (long term effect)
Joto ni muhimu sana kwa injini na mtazamo wa “NCHI ZA JOTO / NCHI ZA BARIDI” hakihusiani na wewe kutoa thermostat maana joto la uendeshaji wa injini halihusiani na joto la hali ya hewa kama mfumo wako wa rejeta (radiator) ni msafi hauna vizuizi na unapooza sawasawa.
MTAZAMO BINAFSI kuendana na research ndogo tu.
Unataka watu waharibu magari yaoYupo sahihi kwa kiwango flani..
Hio dhana ambayo unaipinga (nchi za baridi/ nchi za joto) ni dhana sahihi kabisa na kisayansi ipo.. unaweza pitia kwenye automotive blogs mbalimbali utaikuta.
Thermostat imewekwa kuhakikisha engine ina operate kwenye kiwango cha joto kinachotakiwa (85c - 110 deg celcius). hili unalifahamu......sasa hapa ndo panahitaji akili ya ziada. Uliponunua wewe gari used kutoka japan ambako wanaamka Asubuhi wanakuta gari imefunikwa na snow ukubali kuwa ukija huku kwetu ambako Jua la saa nne asubuhi linaivisha Sausage hutatumia baadhi ya vitu.. pengine hutavihitaji kabisa..
Gari lako lina switch ya ku warm seat.. binafsi hii switch sijawahi itumia hata siku moja. mtu akiniambia hii ichomolewe siwezi kuhamaki na kusema ooh ni mjapani kaweka... ndo mana nikasema panahitaji akili ya kujiongeza.
kwa Dar.. naamini kabisa 98% ya magari yenye thermostat bado.. yanapowashwa asubuhi ndani ya safari husika hakuna wakati wowote ambao thermostat itajifunga (kuzuia mzunguko wa maji kwamba engine ni ya baridi mno) nadhani umeelewa.
Naamini pia endapo Wajapani wangekua wanaunda magari specifically kwa kila eneo basi wasingeweka thermostat kwa magari yanayoenda kutumika nchi zenye joto kali. cha msingi ni kutambua kua asilimia karibia 80% ya magari tunayotumia hayakulenga soko la nchi kama zetu.. huo ndo ukweli kwahio ukitambua hili haupati shida kuskia mtu anataka ku deactivate kitu flani. magari yalolenga soko la africa yanafahamika kabisa na wenyewe wauzaji wanasema.. na utalikuta limekaa kiafrica kwelikweli ma springs, shockabs n. k
Haupo sahihi. Na nitakuelekezaYupo sahihi kwa kiwango flani..

Story za vijiweni.Yupo sahihi kwa kiwango flani..

Yupo sahihi kwa kiwango flani..

Lol... ndo mana nasema inahitajika akili ya ziada, Ukiwasha gari saa sita mchana si engine ilikua imepoa thermostat inakuaje wazi bro?? Thermostat itafunga wakati umeliwasha namna ambayo inatakiwa kua ILA baada ya kutembea kidogo hakuna wakati mwingine wowote katika safari yako ambapo ETI thermostat itabidi ifunge tena kwa sababu engine imepoa mno (katika Nchi zetu hizi za Tropic), huko kwa wenzetu themorstat inaweza kufungua na kufunga mara nyingi sana ndani ya safari moja.Kwa hiyo Dar ukiwasha gari saa 6 mchana thermostat inakuwa iko wazi?
ILA baada ya kutembea kidogo hakuna wakati mwingine wowote katika safari yako ambapo ETI thermostat itabidi ifunge tena kwa sababu engine imepoa mno
Kumiliki gari bila kuwa na fundi mzuri ni msalaba wa chuma.Mtu anakuambia kuwa anataka aitoe thermostat na bado unamwita kuwa ni fundi,hii maana yake ni kwamba wewe ndiye tatizo namba moja.
Sio kila kitu anachoelekeza mtengenezaji ni cha kufuata. Vitu vingine ni kujiongeza kulingana na mazingira. Mfano siku hizi wamekuja na lifetime fluids, kama za gearbox. Sasa fuata hayo maelekezo usibadili uone kama hutanunua gearbox kila mwaka.Kufanya kitu kwa mazoea pasipo kufuata maelekezo ya watengenezaji na kupata matokeo chanya haimaanishi ni sahihi. Mara nyingi huwa na madhara yanayokuja kuonekana baadae sana (long term effect)
MTAZAMO BINAFSI kuendana na research ndogo tu.
Ulipata solution ya hili tatizo?Habari za saa hizi wakuu, poleni na majukumu, gari yangu (corolla spacio) ilipata majanga iligongwa mbele vitu vyote vya mbele vikaharibika including fan, radiator na vyote vya mbele pale, so ikabidi iwe fitted with a new nosecut, baada ya hapo gari ikawa sawa, sasa kurudi barabarani gari inaenda nikifika tu kwenye foleni, geji ya temperature inaanza kupanda so inanibidi nipark nizime gari kwa muda kidogo then niendelee, badae nikaja kugundua feni ndo shida kwamba haifungui kwa wakati, lakini pia kuna kitu kikawa kinanitatiza kwasababu kuna muda ilikua inafungua, so ni kama ina mawenge kuna muda inafungua muda haifungui, nikampelekea fundi akasema ni switch ya feni akaweka nyingine, tatizo bado liko pale pale, kuongea na fundi tena anasema niende watoe thermostat gari iende bila thermostat, hapo sasa ndo nikawa na doubts, sasa sijajua nini shida nalileta kwenu wakuu tufunguane mawazo angalau, natanguliza shukrani
NB: sio kama feni haifungui kabisa, kuna muda inafungua kuna muda inafeli kufungua na hapo ndo overheat inapokuja
Habari za saa hizi wakuu, poleni na majukumu, gari yangu (corolla spacio) ilipata majanga iligongwa mbele vitu vyote vya mbele vikaharibika including fan, radiator na vyote vya mbele pale, so ikabidi iwe fitted with a new nosecut, baada ya hapo gari ikawa sawa, sasa kurudi barabarani gari inaenda nikifika tu kwenye foleni, geji ya temperature inaanza kupanda so inanibidi nipark nizime gari kwa muda kidogo then niendelee, badae nikaja kugundua feni ndo shida kwamba haifungui kwa wakati, lakini pia kuna kitu kikawa kinanitatiza kwasababu kuna muda ilikua inafungua, so ni kama ina mawenge kuna muda inafungua muda haifungui, nikampelekea fundi akasema ni switch ya feni akaweka nyingine, tatizo bado liko pale pale, kuongea na fundi tena anasema niende watoe thermostat gari iende bila thermostat, hapo sasa ndo nikawa na doubts, sasa sijajua nini shida nalileta kwenu wakuu tufunguane mawazo angalau, natanguliza shukrani
NB: sio kama feni haifungui kabisa, kuna muda inafungua kuna muda inafeli kufungua na hapo ndo overheat inapokuja
Makini sanaKumiliki gari bila kuwa na fundi mzuri ni msalaba wa chuma.Mtu anakuambia kuwa anataka aitoe thermostat na bado unamwita kuwa ni fundi,hii maana yake ni kwamba wewe ndiye tatizo namba moja.
Kama haujui vitu ni vema kukaa kimya ili kujiepusha na aibu ndogo ndogo na kudhalilisha ukoo wako.Ukitoa tu thermostat Hilo tatizo linaisha na hakuna madhara yoyote ni kwamba tu maji yanaflow saa zote gari ilishapigwa moto
Ila kama hutaki kuitoa Thermo
Kagua utendaji kazi wa cooling Timer na fen zote mbili ziwake
Usafi wa Radiator yako
Water pump kama Iko sawa.
NB. Kutoa thermo hakuna madhara kwenye nchi za kwetu
Mabadiliko tu ni kwamba temperature gauge haitakuwa inakuwaga pale katikati kama siku zote
Ukiitoa hii saa gari Iko silent au ikishuka kwende mteremko ( I mean saa injini imerelax basi na gauge Inaweza ikashuka chini kabisa
Gari ikishakuwa Mzee kutoa thermo ni sahihi kabisa