kuna taa ya Engine, Mkanda na Airbag ... vizuri ni ukamuona fundi aa umeme kwanza ...habarini ndugu,
Gari yangu inawaka vitaa hivyo pichani sielewi tatizo ni nini.
Naombeni msaada wenu nianzie wapi maana siko vizuri sana kwenye nyanja hii ya magari nimeona bora nilifikishe kwenu ili nipate pakuanzia.
Msaada wenu ni muhimu kwangu.
Wasalam.
linatambaa bado nadhanilinatembea?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]piga 119
Kampuni ya Shell bado ipo ?Usisahau kwenda sheli
Hao jamaa naozungumzia mimi ni wataalam wa umeme wa magari wapo pande za kijito nyamaKampuni ya Shell bado ipo ?
Inashauriwa taa ya mkanda ikiwaka usifunge kabisa mkanda mpaka ifanyike diagnosis na solution ya tatizo1. Taa ya mkanda
Ukifunga mkanda inatakiwa itoke isionekaneama iwapo unaendeleaje muone Fundi inawezekana sensor imekufa au imeachia
Hizi zinginea zote Maelezo nikama hapo juu
Sensor kuharibika, au ubovu kwenye mfumo wa engine au ubovu kwenye mfumo wa air bags
Ok. Nilijua "Shell" Kampuni ya mafuta ambayo ilitamba enzi hizoHao jamaa naozungumzia mimi ni wataalam wa umeme wa magari wapo pande za kijito nyama
Kwa wapi hapa dar naweza pata hiyo huduma?Kuna taa inakutaka ufunge mkanda, halafu hio taa nyengine yenye duara na mtu airbage system inataka maintainance (inawezekana airbag gari haina hio kwaio fundi wa umeme akuzimie tu isiwake), na hio ya njano engine yako ina matatizo lazima ukaichekishe. Nakushauri hio engine ukaifanyie diagnosis, usiwasikilize mafundi wa chini ya muembe mana watakwambia ufanye service tu.
habarini ndugu,
Gari yangu inawaka vitaa hivyo pichani sielewi tatizo ni nini.
Naombeni msaada wenu nianzie wapi maana siko vizuri sana kwenye nyanja hii ya magari nimeona bora nilifikishe kwenu ili nipate pakuanzia.
Msaada wenu ni muhimu kwangu.
Wasalam.
Wadau watakusaidia wapi kufanya diagnosis mi kwetu visiwani...... Ila usikubali kutibiwa gari lako kama hujalifanyia diagnosis. Utaokoa helaKwa wapi hapa dar naweza pata hiyo huduma?