Gari yangu inawaka vitaa hivi. Msaada plis

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,355
Reaction score
4,260
habarini ndugu,
Gari yangu inawaka vitaa hivyo pichani sielewi tatizo ni nini.
Naombeni msaada wenu nianzie wapi maana siko vizuri sana kwenye nyanja hii ya magari nimeona bora nilifikishe kwenu ili nipate pakuanzia.
Msaada wenu ni muhimu kwangu.
Wasalam.
 
Attachments

  • IMG_20171225_085842.jpg
    IMG_20171225_085842.jpg
    16.1 KB · Views: 112
habarini ndugu,
Gari yangu inawaka vitaa hivyo pichani sielewi tatizo ni nini.
Naombeni msaada wenu nianzie wapi maana siko vizuri sana kwenye nyanja hii ya magari nimeona bora nilifikishe kwenu ili nipate pakuanzia.
Msaada wenu ni muhimu kwangu.
Wasalam.
kuna taa ya Engine, Mkanda na Airbag ... vizuri ni ukamuona fundi aa umeme kwanza ...
 
Kuna taa inakutaka ufunge mkanda, halafu hio taa nyengine yenye duara na mtu airbage system inataka maintainance (inawezekana airbag gari haina hio kwaio fundi wa umeme akuzimie tu isiwake), na hio ya njano engine yako ina matatizo lazima ukaichekishe. Nakushauri hio engine ukaifanyie diagnosis, usiwasikilize mafundi wa chini ya muembe mana watakwambia ufanye service tu.
 
1. Taa ya mkanda
Ukifunga mkanda inatakiwa itoke isionekaneama iwapo unaendeleaje muone Fundi inawezekana sensor imekufa au imeachia

Hizi zinginea zote Maelezo nikama hapo juu

Sensor kuharibika, au ubovu kwenye mfumo wa engine au ubovu kwenye mfumo wa air bags
 
Inashauriwa taa ya mkanda ikiwaka usifunge kabisa mkanda mpaka ifanyike diagnosis na solution ya tatizo
 
kuna taa ya Engine, Mkanda na Airbag ... vizuri ni ukamuona fundi aa umeme kwanza ...
Ya mkanda nikifunga inaondoka ila jizo mbili haziondoki msaada pliz
 
Kuna taa inakutaka ufunge mkanda, halafu hio taa nyengine yenye duara na mtu airbage system inataka maintainance (inawezekana airbag gari haina hio kwaio fundi wa umeme akuzimie tu isiwake), na hio ya njano engine yako ina matatizo lazima ukaichekishe. Nakushauri hio engine ukaifanyie diagnosis, usiwasikilize mafundi wa chini ya muembe mana watakwambia ufanye service tu.
Kwa wapi hapa dar naweza pata hiyo huduma?
 
habarini ndugu,
Gari yangu inawaka vitaa hivyo pichani sielewi tatizo ni nini.
Naombeni msaada wenu nianzie wapi maana siko vizuri sana kwenye nyanja hii ya magari nimeona bora nilifikishe kwenu ili nipate pakuanzia.
Msaada wenu ni muhimu kwangu.
Wasalam.

Naona ‘check engine’ light imewaka.

Peleka wakaifanyie diagnosis.

Yaweza kuwa ni tatizo la transmission, au yaweza kuwa hukutunga vizuri mfuniko wa mafuta.
 
Kama ni Magari ya ulaya hiyo taa ya airbag kuna mahali kuna kiswitch unatakiwa uweke airbag off kama umempakiza mtoto na huwa inawaka endapo mkandamizo au uzito wa aliyekaa au kito ulichoweka kiti cha mbele haukufika wastani fulani.

Hiyo ya check engine inawezekana ni muda wa services, air sensor, plugs, water system, ama oil levels havipo sawa. Muone fundi.

All the best
 
Kwa wapi hapa dar naweza pata hiyo huduma?
Wadau watakusaidia wapi kufanya diagnosis mi kwetu visiwani...... Ila usikubali kutibiwa gari lako kama hujalifanyia diagnosis. Utaokoa hela
 
Back
Top Bottom