Asante sana mkuu. Na kwa uzoefu wako, gari ya CFI usd 3500 mpaka niipate inaweza gharimu sh ngapi?
Kwa makadilio sahihi mkuu, naomba nipate make, model & mwaka wa kutengenezwa gari husika.Asante sana mkuu. Na kwa uzoefu wako, gari ya CFI usd 3500 mpaka niipate inaweza gharimu sh ngapi?
Jf sio ya mchezo mchezoGari ya kwanza inamilikiwa kuanzia August 2018.
Uzi wa kumiliki gari la Subaru upo January 2018.
Tunaotumia Subaru Legacy B4 tukutane hapa
Hatari sana.
Ndio shida ya maisha ya maigizo na uongo uongo, I wonder faida yake ni nn. Anyway ngoja niweke akiba ya maneno labda jamaa atakuja kutoa ufafanuzi.Gari ya kwanza inamilikiwa kuanzia August 2018.
Uzi wa kumiliki gari la Subaru upo January 2018.
Tunaotumia Subaru Legacy B4 tukutane hapa
Hatari sana.
NissanKwa makadilio sahihi mkuu, naomba nipate make, model & mwaka wa kutengenezwa gari husika.
1. ushuru za per tra calculator ni tsh. 8,102,364. Link: Used Motor Vehicle Valuation System - Used Motor Vehicle Valuation SystemNissan
xtrail - SUV
2008
CC 1990
Week 2 zilizopita, nimemletea mteja nissan xtrail, ya model hiyo. Gharama kamili hadi namkabidhi mkononi niNissan
xtrail - SUV
2008
CC 1990
Labda ungesema aina ya gari lenyewe (Aina, mwaka wa kuundwa, Ukubwa wa injini etc)Wakuu,
Niliagiza gari, ndio namiliki gari kwa mara ya kwanza hivyo vitu vingi bado ni mshamba hivyo nahitaji ushauri wetu mniongoze.
Wakati naagiza gari nilishaangalia makadirio ya kodi kwenye website ya TRA, pesa yao ya kodi ipo tayari pia kuna milioni moja ya dharura. Sasa nahitaji kujua yafuatayo;
1. Gari ninayoagiza ni ya kibiashara, nataka iwe taxi. Je, kuna kodi za biashara ntatakiwa kulipa kabla au nitakuja kulipa nikianza biashara?
2. Gharama za ku clear gari bandarini pamoja na kulipa kampuni ya clearing zipoje?
3. Kampuni ipi ya clearing ni wazuri kwenye kutoa mizigo yako bandarini, wanafanya haraka na kwa uaminifu? huwa nasikia sana habari za kuchomolewa radio au vitu vingine kwenye gari
Naombeni mnitoe ushamba wakuu, mshamba wakati wa kwenda 🙂