Gari yangu Toyota Rav4 inakula sana mafuta

Kama umesema ni Lita 20(na siyo ya Tsh 20,000) kwa uchache hata kama gari ile vipi lazima kilometa 150 utoboe. Kwa mfano Brevis inakula mafuta kuliko Mark X,Verossa,Mark Grande,lakini kilometa 140 kwa lita hizo 20 unafika...
Nimependa Maelezo yako mkuu, ila mi ninashida moja ningependa kujua kazi ya VVTi
 
Wajuzi watakujibu,nami nitaongezea nyama itakapobidi.
 


Mtafute bwana mmoja humuhumu JF anaitwa Ramthods hutajuta kumjua
 
Hapo kutakuwa na shida kweli, mm kweny brevis aka jini makata lita 11 naend km 130,
 
mie shida yangu gari imekuwa nzito mwanzo ikiwa kwenye drive kama sehemu ni flat inatembea bila hata kukanyaga acceralator ila sasa haiendi hadi nikanyage, ishu nyingine rpm inafika hadi 3 na speed niko 60 tu zaman nilikuwa sizidi 2 kwa speed hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…