Abuu Said
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 4,010
- 4,763
Nimependa Maelezo yako mkuu, ila mi ninashida moja ningependa kujua kazi ya VVTiKama umesema ni Lita 20(na siyo ya Tsh 20,000) kwa uchache hata kama gari ile vipi lazima kilometa 150 utoboe. Kwa mfano Brevis inakula mafuta kuliko Mark X,Verossa,Mark Grande,lakini kilometa 140 kwa lita hizo 20 unafika...