Gari yangu Toyota Rav4 inakula sana mafuta

Mkuu Jiandae na ku OVeRhaul engine
kwa rav 4 n cheap pamoja na ufundi haizidi 600K .....

OVERHAUL HIYO ENGINE. mm nilibadili plugs fuel injector wapi shda ni ndani ya INJINI.
 
Nikiweka Lita 20 zinaisha kwa kutembelea km 30 tu
Naona huu utakuwa ugonjwa wa Rav 4,nami hivyo hivyo wakashauri kubadilisha sijui nozel sijui nini nimebadilisha lakini wapi. Nikajaribu kuweka full tank kama miezi 2 hivi nikawa nafanya ikipungua kidogo naongezea lakini ulaji wake ukawa ule ule nikagive up, maisha yenyewe yako wapi ya kutembelea full tank always nikaona nakuwa mtumwa tu,basi nacheza nalo hivyo hivyo zikiwepo nalitumia nikikosa bas tunabanana na lita 10 zetu hivyo hivyo maisha yanaenda!!
 

Pole, it is a package when u buy! change a car if u can't afford
 
Sasa hapo kuna mambo ya kuchek,nozzle,plug,fuel contro senser na high tension cable na kwa gari ya petrol nazan kutakua na miss kwa asilimia kubwa jambo la kuzingatia anza na fundi waya badala ya hapo uendelee na mechanicer
 
Nikiweka Lita 20 zinaisha kwa kutembelea km 30 tu
Hata mimi ilinitokea, nikahisi labda gari yangu imejipandisha cheo na kua V8 sasa. Nlipo peleka sevice nikagundua gari kula mafuta kupita kiasi inachangiwa na Plug kuchoka, au Fuel Pump ya mafuta kua mbuvu au filter ya mafuta kua mbovu na kupeleka mafuta bila kuyachuja kwenye Fule Pump na kuiharibu/kuiua
 
Ng`ata meno peleka gari Toyota. Kwa Rav4 na Prado wana bei flan elekezi hutashindwa.. Gharama za kuzunguka kwa mafundi wapiga ramli zitazidi za toyota… naongelea uzoefu.
 
Overhaul umemalza kazi mm nmeoverhaul rav 4 vx 1 litre around 10-12km 1770cc

mm tatzo lilikua cylnderhead.

 

ULITAKA LILE MCHEMSHO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…