Fredwash
JF-Expert Member
- Oct 27, 2009
- 1,400
- 2,010
hilo jini liko vizuri sana mimi lita 8.5 mafuta ya 20k subaru naenda 65-74km
same here 8.4 natoboa 90 to 100 legacy manual
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hilo jini liko vizuri sana mimi lita 8.5 mafuta ya 20k subaru naenda 65-74km
Hiyo ni kwa highway au urban/town?same here 8.4 natoboa 90 to 100 legacy manual
Natumia gari langu dogo Toyota rav4j lakin limeanza kula mafuta vibaya, naitaji ushauri wa kiufundi kwani nalipenda sana gari langu, nicheze na mfumo gani ili iwe inakula vzr, gari lenyewe lina CC1998, mwanzoni lilikuwa na racial ya 1LTR for 8km, naitaji msaada kwa mtu mwenye experience na iz gari
Naona huu utakuwa ugonjwa wa Rav 4,nami hivyo hivyo wakashauri kubadilisha sijui nozel sijui nini nimebadilisha lakini wapi. Nikajaribu kuweka full tank kama miezi 2 hivi nikawa nafanya ikipungua kidogo naongezea lakini ulaji wake ukawa ule ule nikagive up, maisha yenyewe yako wapi ya kutembelea full tank always nikaona nakuwa mtumwa tu,basi nacheza nalo hivyo hivyo zikiwepo nalitumia nikikosa bas tunabanana na lita 10 zetu hivyo hivyo maisha yanaenda!!Nikiweka Lita 20 zinaisha kwa kutembelea km 30 tu
Fair enough!t
town trip ( commute to work)
Kwa hiyo mkuu unabisha kuwa Mungu hawezi au?Acheni kumdhihaki Mungu...
Mungu yupo kwa ajili ya kuponya magari ?
Mleta mada fuata ushauri wa kiufundi unaoletwa hapa
Natumia gari langu dogo Toyota rav4j lakin limeanza kula mafuta vibaya, naitaji ushauri wa kiufundi kwani nalipenda sana gari langu, nicheze na mfumo gani ili iwe inakula vzr, gari lenyewe lina CC1998, mwanzoni lilikuwa na racial ya 1LTR for 8km, naitaji msaada kwa mtu mwenye experience na iz gari
Hata mimi ilinitokea, nikahisi labda gari yangu imejipandisha cheo na kua V8 sasa. Nlipo peleka sevice nikagundua gari kula mafuta kupita kiasi inachangiwa na Plug kuchoka, au Fuel Pump ya mafuta kua mbuvu au filter ya mafuta kua mbovu na kupeleka mafuta bila kuyachuja kwenye Fule Pump na kuiharibu/kuiuaNikiweka Lita 20 zinaisha kwa kutembelea km 30 tu
Subaru lita 1 km8 had 10 sana sana 7 kwa mjini.Huu ulaji kidogo saanaaa wazee wa subaru watakutoa baru wao lita 10 km 2
Aujasema kwa sasa inatumia lita 1 kwa km ngap!!
Naona huu utakuwa ugonjwa wa Rav 4,nami hivyo hivyo wakashauri kubadilisha sijui nozel sijui nini nimebadilisha lakini wapi. Nikajaribu kuweka full tank kama miezi 2 hivi nikawa nafanya ikipungua kidogo naongezea lakini ulaji wake ukawa ule ule nikagive up, maisha yenyewe yako wapi ya kutembelea full tank always nikaona nakuwa mtumwa tu,basi nacheza nalo hivyo hivyo zikiwepo nalitumia nikikosa bas tunabanana na lita 10 zetu hivyo hivyo maisha yanaenda!!
Natumia gari langu dogo Toyota rav4j lakin limeanza kula mafuta vibaya, naitaji ushauri wa kiufundi kwani nalipenda sana gari langu, nicheze na mfumo gani ili iwe inakula vzr, gari lenyewe lina CC1998, mwanzoni lilikuwa na racial ya 1LTR for 8km, naitaji msaada kwa mtu mwenye experience na iz gari
haha[emoji28]ULITAKA LILE MCHEMSHO?
biashara yetu ya exchange ya gari mbona hukuja pm kwa mazungunzo!Mkuu Pole!ila naomba kujibiwa,umejuaje inakula sana mafuta?
Sio kwamba unaweka ya 10,000 elfu 10 ndio maaana unaona yanaisha haraka?