Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata zile kibanda wazi cars Kwa bongo ni kujitafutia matatizo tuKulingana na Hali yetu ya jua na vumbi karibu kipindi chote cha mwaka. Kununua gari yenye Sunroof kwa Bongo ni mateso ya kujitakia.
SureHata zile kibanda wazi cars Kwa bongo ni kujitafutia matatizo tu
Mateso bila chukiIna raha yake hasa jioni na usiku. ila na gharama ya maintainance itaongezeka coz ni kitu cha ziada kwenye gari.
Shida yote ya nn?Ukihitaji huwa zinafunga na hata huwezi kukiona kioo chenyewe
Kulingana na Hali yetu ya jua na vumbi karibu kipindi chote cha mwaka. Kununua gari yenye Sunroof kwa Bongo ni mateso ya kujitakia.
View attachment 2694275View attachment 2694278
Rubber iliyo kwenye sunroof Kuna wakati inazingua kuipata kipengeleSi unafunga? Na hewa ikiwa nzuri highway unafungua?
Rubber iliyo kwenye sunroof Kuna wakati inazingua kuipata kipengele
Swala la vumbi inategemea unaishi mitaa gani mkuu...Kulingana na Hali yetu ya jua na vumbi karibu kipindi chote cha mwaka. Kununua gari yenye Sunroof kwa Bongo ni mateso ya kujitakia.
View attachment 2694275View attachment 2694278
Tafuta hela😅😅Hivi Kuna IST yenye Sunroof?
Ikinyesha ni mateso... Nilishawahi kupanda gari moja hivi nikanunua mwamvulini option either ufungue ama ufunge, shida iko wapi?
Sio IST tu hizi gari za family hiyo kama VTS hakunaHivi Kuna IST yenye Sunroof?