Emmanuel180
JF-Expert Member
- Dec 17, 2019
- 342
- 626
Nyiee hivi mlishawahi kwenda Kigoma kuna gari zinaitwa Cassablanca ukiingia ndani picha linaanza kwanza hitakiwi kuvaa tshirt au nguo nyeupe maana utafika kibondo kama umetoka kumuibia mchina madini kule Buzwagi.
Ok sasa Tv za mule ndani ni flat screen Lg zimechomelewa juu ya dali la gari kwa hiyo mle ndani konda kazi yake kucheza na remote tu[emoji108][emoji1787].
Nyie Kibondo na Kakonko oeeee.
Nimesahau stendi ya Kakonko ilipo ni imezidiwa uzuri na vile vituo vya kupumzika wageni wanapoenda kupanda mlima Meru na Kilimanjaro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji108].