Emmanuel180
JF-Expert Member
- Dec 17, 2019
- 342
- 626
Kesho nitaleta thread ya saratoga[emoji23][emoji23][emoji108]Pichaa,.vipi kuhusu saratoga??!?[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cassablanca wana Lg 32 inch,DreezyD98.
Vumbi au tope jekundu ndio asili ya ardhi ya kigoma,na kwasababu sehemu kubwa ya barabara haina kiwango cha lami ni changamoto kwa nguo nyeupe hasa unaposafiri....
Sawasawa mkuuπKesho nitaleta thread ya saratoga[emoji23][emoji23][emoji108]
Mtuache na Saratoga yetu, basi kama treni.Pichaa,.vipi kuhusu saratoga??!?[emoji28]
Usisahau kunitagKesho nitaleta thread ya saratoga[emoji23][emoji23][emoji108]
πππππBaaaaayaaaaMtuache na Saratoga yetu, basi kama treni.
unatumiwa mzigo ,wanasahau kushusha dar ,wanarudi nao hadi kigoma wanaushusha kigomaMtuache na Saratoga yetu, basi kama treni.
Da, kigoma ndio kwetu ila sijawahi kwenda na basi aisee...Nyiee hivi mlishawahi kwenda Kigoma kuna gari zinaitwa Cassablanca ukiingia ndani picha linaanza kwanza hitakiwi kuvaa tshirt au nguo nyeupe maana utafika kibondo kama umetoka kumuibia mchina madini kule Buzwagi.
Ok sasa Tv za mule ndani ni flat screen Lg zimechomelewa juu ya dali la gari kwa hiyo mle ndani konda kazi yake kucheza na remote tu[emoji108][emoji1787].
Nyie Kibondo na Kakonko oeeee.
Nimesahau stendi ya Kakonko ilipo ni imezidiwa uzuri na vile vituo vya kupumzika wageni wanapoenda kupanda mlima Meru na Kilimanjaro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji108].